New English term:Kanumbarization | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New English term:Kanumbarization

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bishanga, Sep 9, 2009.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wadau hii nimeinyaka leo toka radio moja al maaruf:
  Title: Kanumba ndani ya Big Brother
  BB: Kanumba,do you have a girlfriend?
  Kanumba: Yes,I have one girlfriends
  BB: What is her name?
  Kanumba: Her name is Kind Sepetu.She throw stone to my car window and my car window is broken,so I close her in Police Station,so dont be celebrity like her be celebrity like me
  BB: Why are you not eating?
  Kanumba: I close eating,so cook me at evening for me to open eating.
  Mtangazaji kamalizia kwa kusema "hii ndiyo kanumbarization ya kiingereza"!
   
 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Literal translation ... .. inachekesha ...
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mmemshambulia huyu jamaa sana nafikiri asipokuwa strong anaweza hata akaacha kuigiza maisha yake yote, amekuwa kichekesho kuliko hata ze comedy, tumtie moyo na ajifunze lugha kwa wk 6-8 anaweza kumaster kbs...mbona hamushauri kuhusu MAVAZI YAKE NI KICHEKESHO KULIKO HATA LUGHA vipi kuhusu mwili wake ni wa ki super star ule? Mshaurini afanye mazoezi napasuka kwa unene.
   
 4. w

  wasp JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau hii nimeinyaka leo toka radio moja al maaruf:
  Title: Kanumba ndani ya Big Brother
  BB: Kanumba,do you have a girlfriend?
  Kanumba: Yes,I have one girlfriends
  BB: What is her name?
  Kanumba: Her name is Kind Sepetu.She throw stone to my car window and my car window is broken,so I close her in Police Station,so dont be celebrity like her be celebrity like me
  BB: Why are you not eating?
  Kanumba: I close eating,so cook me at evening for me to open eating.
  Mtangazaji kamalizia kwa kusema "hii ndiyo kanumbarization ya kiingereza"!

  wajameni huyu Kanumba sawa kabisa na "Mahimuna"
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  hamkumbuki mambo ya dar to lagosi,jamaa aliletewa msosi akasema'''this food have too much pilipilis........watu hoi kwa kicheko.
   
 6. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha ha! anatia fora aisee
   
 7. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lilianza Maimuna likaja Kihiyo na sasa Kanumba. leo ofisini kaja mtu kuomba kazi kaulizwa kiingereza unachoongea mbona kama cha Kanumba?
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Na nyie kwa kutukuza uzungu!!
  Yeye ni mzawa kiingereza cha nini bana Mbona Bush kaja kachemka kuongea Kiswahili.
  Bravo Kanumba kwa kufunika kwenye jumba la kaka Mkubwa.
   
 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  jamani mwogopeni Mungu, mwenzenu anajitahidi, ilaumuni hii nchi kwa mfumo mbaya wa elimu.
  Leo nilikuwa naangalia evaluation form za walimu walizojaza baada ya workshop ni aibu jamani, hii nchi inahitaji maombi, hiyo lugha iliyoandikwa humo, nimebaki kusema , OMG sasa kama watoto ndo wanafundishwa na wlimu kama hawa, ni taifa gani tunajenga kwa kizazi hiki na utandawazi huu!
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  du! ndo vijana wetu hawa.
  halafu eti mi super star!!!
  pumbavu sana, kingereza ovyo, yaani basi tu.
  tunae mwingine tena mkubwa sana nchi hii nae ngeli haipandi
   
 11. K

  Kelelee Senior Member

  #11
  Sep 9, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh....kafunika kitu gani....issue hapa people are calling a spade a spade bwana....hehehe English kwaKanumba ni issue and as long as he aspires to be the greatest actor and Director basi aache uvivu na ubishoo aende English course...hata Governor Arnold ni mgeni wa kiingereza lakini sababu career yake ilihitaji ajue lugha he took time and learnt.....Kanumba is no exception. i can't stp laughing coz wat he said is really hilarious hehehehehe........
   
 12. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kanumba: Don't Play with me I'm a tall water - maji marefu

  Kanumba: You Itai, don't smoke the ball too much, you have to minus the the pass to Tuvi (wewe Itai, usivute sana mpira, unatakiwa utoe pass kwa Tuvi).

  Kanumba: Ok, ok, Simba FC have closed Yanga two goals nothing (Simba FC wamewafunga Yanga magoli mawili bila).

  Kanumba: Goodbye housemates, I will contacted you and please don't forget to took my contacts...!!

  Hahahahaaaa, hii ndio Kanumbarization...!!!
   
 13. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hebu m-mwage huyo mkubwa hata kwa mafumbo tuta decode!
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  If I may callously comment with my most oft used poetic license -we are lingering in linguistics after all- please permit my hopefully informative wallow and wobble in a wallop of wordplay, not in vain vanity I assure .

  The murderous mediocrity if not inexcusable idiocracy shielding solid squarely under the glaring guise of patriotic pride is not only laughably lamentable, but also blatantly blaze in a conspicuously cavalier and nauseatingly naive fashion.

  Regardless of Kanumba's English fluency and proficiency , It is one thing if you are defending disputing cultural imperialism on the part of a Kanumba who demanded a Swahili-English interpreter and in the process sparked interest in Swahili - I can chance stocking sincerity and love of culture there-and quite another defending poor English just because the speaker is not from Britain or it's English-mother-tongued cultural satellites. This is essentially the same argument forwarded to excuse not only jokers of a low calbre, but even our own president.

  What Bush did was mutter a few symbolic words of Swahili.This is acceptable -sometimes even expected- the world over. You cannot equate this with holding a conversation in Swahili. If one has poor English and does not demand an interpreter, this tells me that this person accept cultural imperialism in an "end justifies means" way or is not even aware of the entire concept of cultural imperialism.

  Do not excuse -indeed equate- jokers who cannot get their language issues, and more than that decision making process, straightened on account of ones fighting cultural imperialism.that would be like equating supporters of The Flat Earth Society with Thomas Friedman, their platforms are not the same despite the tempting illusion.
   
  Last edited: Sep 9, 2009
 15. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  tusimlaumu kwa kutudhalilisha, tuwalaumu waliompeleka huko, yani aibu sana bora mwaka huu kusiwe na mshiriki maana atakuwa na wakati mgumu sana kutoka kwa washiriki wengine
   
 16. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hata kwa viewers, atapata wakato mgumu sana mpaka wamkubali
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  yaani kanumba na kayumba the same sio?
   
 18. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Inawezekana. Lakini ujue wazi kwa mantiki hii, linumba na liyumba ni 'even worse'!
   
 19. s

  saikon nokoren Member

  #19
  Sep 10, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afadhali ya Kanumba, kwani hawa vijana wetu wa shule za kata, ndio usiseme kabisa, itafika mahala mtaona kiingereza ya kanumba bora kuliko.


  Nahofia, kwa kasi hii ya shule za kata zisizo na uhakika wa walimu bora, itafika mahali tutakuja kuiona barua hiyo hapo juu ina afadhali.
  Na ni vijana hawa tunaoota kuwaingiza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
   
 20. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ha ha ha! Unapoenda siyo mtu wangu... Angalia wasikushike wakasema wewew c Mtanzania ni Msomali, ha ha ha.... Nahsi namjua huyo unayetaka kum....
   
Loading...