johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
- Thread starter
-
- #41
Mkuu huu ni ubunifu tu and its just for fun.lengo la siku ya kirisimas ni kuabudu na kukumbuka neema za Mungu - sasa ingeuzwa kuwa ni kulewa na maasi yote yana andaliwa kwa siku hii !!
...hapana brother ila nipo chuo.. Ila ningependa kuulizia kama ajira kwa ajili graduates wa bsc. Production ,operation and management...(bsc. POM..,) VP znasomeka kwenye viwanda kama hivyo?Hahahha unataka uje sisi ndo tushaanza maandalizi hapa ofcn
Naum... starehe ya milongo yoteMaji ya dhahabu
Upate kitu cha baridiiiii.Naum... starehe ya milongo yote
Hahha mkuu shika adabu yako bwana unashtua kiu kilipo lala mkuu alafu tupo maofisini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Upate kitu cha baridiiiii.
NaumMlevi bhana hahahaaa....
My brother upo?Mlevi bhana hahahaaa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] muda wa kutoka huu. Kitu baridiii ikipita kwenye koo unahisi kuna kitu kimepita.Hahha mkuu shika adabu yako bwana unashtua kiu kilipo lala mkuu alafu tupo maofisini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha nijisogeze nikitoka hapa uvumilivu umenishinda aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] muda wa kutoka huu. Kitu baridiii ikipita kwenye koo unahisi kuna kitu kimepita.
Maji ya dhahabu
Hahahaha ila kuwa makini. Si unajua tenaWacha nijisogeze nikitoka hapa uvumilivu umenishinda aisee
Nipo kaka. Habari ya siku!My brother upo?
Ila mkuu unanifanyia nitengue kiapo changu nmeapa cnywi bia naanza tizi mkuu nikate haka kakitambi ila hii arosto umeifufua ww mkuu...Hahahaha ila kuwa makini. Si unajua tena
Safi tu. Za kupoteaNipo kaka. Habari ya siku!
Kila mtu na msalaba wake aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . sasa Fanya maamuzi magumuIla mkuu unanifanyia nitengue kiapo changu nmeapa cnywi bia naanza tizi mkuu nikate haka kakitambi ila hii arosto umeifufua ww mkuu...
hii dhambi tutagawana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni nzuri kabisa kaka. Majukumu yanabana.Safi tu. Za kupotea
hata yesu alibebewa msalaba mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mtu na msalaba wake aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . sasa Fanya maamuzi magumu
Ndio maisha hayo kaka kaka.Ni nzuri kabisa kaka. Majukumu yanabana.