johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Walevi utawajua tu?Hapo nikiwa na jamaa zangu watatu tuu zinakalishwa baada ya saa chache sana.
Hahahha unataka uje sisi ndo tushaanza maandalizi hapa ofcnJamaa unapiga job tbl heh????
hahahha komba katika ubora wakoRoho inauma, maana naona kama zitaanguka.
Hizi unaziweza? Ww zako reds na dodoma wineduh hadi kiu
nisiseme tu mengine .. kabisa kawineHizi unaziweza? Ww zako reds na dodoma wine
Hahahaha nilisahau kumbe chagga basi hongera zako nyinyi huwa hamchagui shuhuli mnachana hadi kwenye kipaimaranisiseme tu mengine .. kabisa kawine
ha ha hahahaHahahaha nilisahau kumbe chagga basi hongera zako nyinyi huwa hamchagui shuhuli mnachana hadi kwenye kipaimara
Mambonisiseme tu mengine .. kabisa kawine
pouwa za kwako>?Mambo
Karibu tushee upendoMpaka nimepaliwa atii