New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Subiri mbwembwe za yule askofu msaidizi wa bukoba aliyewahi kusema kiongozi fulani wa kisiasa ni chaguo la mungu, lazima aibuke na kusema walisoma na papa na anamfahamu vizuri sana
 
amechagua jina la st. francis, angalia CNN wanaonesha live sasa anapungia na kuwasalimia waumini pale.
 
Nae umri umesonga hamalizi miaka 20 huyu Mungu atafanya kazi yake
 
[h=1]Cardinals choose new pope, Cardinal Jorge Mario Bergoglio from Argentina, to succeed Benedict.[/h]
 
He is a great reformer

Lakini sidhani kama atakuja na mambo haya:

1. Kuruhusu mapadri kuoa
2. Kuruhusu matumizi ya kondomu
3. Kuruhusu ushoga na usagaji

Haya ndiyo mambo makuu ambayo baadhi ya wakatoliki, ikiwemo baadhi ya hata makadinali wanatamani papa ayaruhusu!

Kamwe hayataruhusiwa.
 
Ana asili ya Italy,baba yake alikuwa muitaliano aliyehamia Argentina kufanya kazi kwenye ujenzi wa reli
 
HURAAAY! papa Kazaliwa Tarehe Na Mwezi Kama Wangu! 17 Dec!
 
watu walitarajia pope kutoka itali,ambako ndo chimbuko la ukatoliki!lkn imekuwa tofauti!

Muitaliano huyu papa. Amezaliwa Argentina, baba yake ni mtaliano aliyehamia Argentina. Kama ambavyo mtoto wa Rwakatare akizaliwa Dar ataendelea kuwa nshomile tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…