Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Sep 20, 2013 #21 Eli79 said: Hiyo inajengwa country side, unaenda kupumzika na hubby wako wikiendi au likizo... mbona utaipenda tu! Click to expand... Nataka bangalow 🙂
Eli79 said: Hiyo inajengwa country side, unaenda kupumzika na hubby wako wikiendi au likizo... mbona utaipenda tu! Click to expand... Nataka bangalow 🙂
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,284 Reaction score 49,327 Sep 20, 2013 #22 BONGOLALA said: Plastic house!!!hapo moto ukikamata ni balaa!Jamaa ni mbunifu,ni wapi mkuu? Click to expand... Ili kupunguza risk ya moto, nazijaza chupa maji...
BONGOLALA said: Plastic house!!!hapo moto ukikamata ni balaa!Jamaa ni mbunifu,ni wapi mkuu? Click to expand... Ili kupunguza risk ya moto, nazijaza chupa maji...
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Sep 20, 2013 #23 Samaritan said: Ili kupunguza risk ya moto, nazijaza chupa maji... Click to expand... Nafuu ya hivo kuliko nyumba ya nyasi lol!!
Samaritan said: Ili kupunguza risk ya moto, nazijaza chupa maji... Click to expand... Nafuu ya hivo kuliko nyumba ya nyasi lol!!
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,284 Reaction score 49,327 Sep 20, 2013 #24 mimi49 said: Nafuu ya hivo kuliko nyumba ya nyasi lol!! Click to expand... Dah! hiyo juu wameezeka kwa nyasi, na kuta zingekua za nyasi si balaa? ila nadhani ndani itakua na material ya kuzuia moto.
mimi49 said: Nafuu ya hivo kuliko nyumba ya nyasi lol!! Click to expand... Dah! hiyo juu wameezeka kwa nyasi, na kuta zingekua za nyasi si balaa? ila nadhani ndani itakua na material ya kuzuia moto.
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Sep 20, 2013 #25 Samaritan said: Dah! hiyo juu wameezeka kwa nyasi, na kuta zingekua za nyasi si balaa? ila nadhani ndani itakua na material ya kuzuia moto. Click to expand... Balaa kubwa haswa maana nyumba nzima itateketea...Hizo material za kuzuia moto ni zipi utayoweka kwenye nyumba ya nyasi?Mpaka zima moto ikija kila kitu khalas...lol..Maji yenyewe ya kuzimia ukachote mile 5!!
Samaritan said: Dah! hiyo juu wameezeka kwa nyasi, na kuta zingekua za nyasi si balaa? ila nadhani ndani itakua na material ya kuzuia moto. Click to expand... Balaa kubwa haswa maana nyumba nzima itateketea...Hizo material za kuzuia moto ni zipi utayoweka kwenye nyumba ya nyasi?Mpaka zima moto ikija kila kitu khalas...lol..Maji yenyewe ya kuzimia ukachote mile 5!!