wewe max na wenzako mijadala yenu ya deen inaboa hapa kwenye net.
Ila nina maswali mawili tu nakuuliza.
Kwa mtazamo wako, i mean mtazamo wako wewe max
1.ni nchi gani afrika mashariki ambayo unaiona imeendelezwa na mkristo.
Usilete majibu ya wazungu kwani kwanza wao ndio wapinzani wakubwa wa kuwepo mungu, nataka majibu ya wamisionari. Wazungu wengi wanajali sayansi na ndio inayoendeleza dunia sasa.
2. Ni nchi gani afrika mashariki unayoiona haina civilazation kwasababu inaufuata uislamu?
Hii nayo majibu usiweke waarabu kwani wako waarabu wakristo na wanasayansi.
Labda ukiyajibu maswali haya wenzako washabiki wa deen ndio watakuelewa.
Bila ya hivyo mtabakia hapa hapa na ubishani wenu wakitoto
baba ana pajero baba yako hana.
Baba ana majumba baba yako hana.
Wewe Max na wenzako mijadala yenu ya deen inaboa hapa kwenye net.
Ila nina maswali mawili tu nakuuliza.
Kwa mtazamo wako, I mean mtazamo wako wewe Max
1.Ni nchi gani afrika mashariki ambayo unaiona imeendelezwa na mkristo.
Usilete majibu ya wazungu kwani kwanza wao ndio wapinzani wakubwa wa kuwepo Mungu, nataka majibu ya wamisionari. wazungu wengi wanajali sayansi na ndio inayoendeleza dunia sasa.
2. Ni nchi gani afrika mashariki unayoiona haina civilazation kwasababu inaufuata uislamu?
Hii nayo majibu usiweke waarabu kwani wako waarabu wakristo na wanasayansi.
Labda ukiyajibu maswali haya wenzako washabiki wa deen ndio watakuelewa.
Bila ya hivyo mtabakia hapa hapa na ubishani wenu wakitoto
Baba ana pajero baba yako hana.
Baba ana majumba baba yako hana.
Go elsewhere.
Kwa raha zangu nakaa hapa hapa nimione mnachogombania kuhusu mzungu na mwarabu.
Wewe Max na wenzako mijadala yenu ya deen inaboa hapa kwenye net.
Ila nina maswali mawili tu nakuuliza.
Kwa mtazamo wako, I mean mtazamo wako wewe Max
1.Ni nchi gani afrika mashariki ambayo unaiona imeendelezwa na mkristo.
Usilete majibu ya wazungu kwani kwanza wao ndio wapinzani wakubwa wa kuwepo Mungu, nataka majibu ya wamisionari. wazungu wengi wanajali sayansi na ndio inayoendeleza dunia sasa.
2. Ni nchi gani afrika mashariki unayoiona haina civilazation kwasababu inaufuata uislamu?
Hii nayo majibu usiweke waarabu kwani wako waarabu wakristo na wanasayansi.
Labda ukiyajibu maswali haya wenzako washabiki wa deen ndio watakuelewa.
Bila ya hivyo mtabakia hapa hapa na ubishani wenu wakitoto
Baba ana pajero baba yako hana.
Baba ana majumba baba yako hana.
OBL, before you jump and post doubted ayats that supports your beliefs/faith, I argue you to tell us what is Civilization, islam, and islamization and how did islam influence and/or causes civilization in todays poor african continent. As well, tell us, when and where did civilization started.
Just read what you wrote.
Kwanza umedai mijadala ya deen inaboa kwenye net.
Pili, unauliza maswali ya kideen
Kaazi kweli kweli unapukuwa islamic thinker.
mzee ningekushauri utafute hicho kitabu kama kweli unataka kuyafahamu haya kiundani!
labda nikupe dondoo tu chache jinsi uislam ulivyo-influence civilization!
-hakuna asiyefahamu kuwa uislam ulishamiri zaidi maeneo ya pwani kwa kuwa maeneo hayo yalikaliwa na waarabu, tuangalie maeneo au mikoa hiyo kama kweli ipo nyuma au ilikuwa nyuma kipindi hicho (Tanga, Mtwara, Dsm) mikoa hii iliendelea muda mrefu sana sio mikoa iliyoendelezwa hivi karibuni ila imedumazwa hivi karibu (tanga palikuwa na lami hadi pangani lakini sasa ni vumbi)
viwanda vingapi vilikuwepo tanga, mashamba makubwa nk je vimefia wapi?
angalia mji wa tanga ulivyopangika, tazama dsm ya zamani enzi ya mzizima angalia historia ya dar es salaam utajua ni jinsi gani usilam uliifluence huu mji kukua na wajerumani baadae waingereza kuuona ni mzuri, then nini kilitokea baada ya hapo!!
Angalia chimbuko na lugha ambayo watanzania tunajivunia na inatupa sifa na ndio iliyoweza kuwaunganisha na kusaidia harakati za uhuru,
pana mahali umedai kuwa mikoa yenye uislam ipo nyuma napinga nawe kwa asilimia zaidi ya 100, haip nyuma ila imerudishwa nyuma na rasilimali zake kuhamishwa kwa manufaa ya mikoa mingine!
wamisionary walikimbilia au walianzia kilimanjaro, iringa, nk na kuidhoofisha mikoa ilyokuwa imeendelezwa na waarabu,
usitumie nguvu ya lugha na hoja ya wazungu kuukataa ukweli wa historia!! uislam umeleta civilization east africa, jipe nafasi soma historia!!
ungejibu hayo maswali hapo juu inegkusaida sana, kama unavyoona ww ni great thinker!! right ebu jibu hayo maswali kwa ufafanuzi ili tukuelewe na tuhakikishe kweli uislam haukuleta civilization!! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!
na hata sasa uislam haujapewa nafasi, inangawa wanabanwa bado wanajitahidi kwa hizo chache zilizoruhusiwa tunaona mafanikio (shule, hospital nk) huwezikuona kwa kuwa huoni!!!
nyingi ya institution za kiislam zinazokuja hapa zinatafutiwa sababu, tumeona hapa organization zinakuja zinajenga mashule, mahospital baada ya muda ohhh magaidi waondoke, na wakati huohuo wazungu wanakuja hapa na vi-ngo na taasisi zinazoanza na ST... kibao zinakuja kufanya investment bila kodi kujitajirisha na kuondoka,
labda nikupe mfano mdogo, nadhani hutopingana nami nikikuambia kuwa ili nchi au sehemu yeyote iendelee inahitaji lugha, tumeona uislam au waarabu ni chimbuko la kiswahili, na lugha hii iliweza kusambaa kwa haraka kwa maana ilikuwa ikitumika katika biashara nk! bado hiyo hakuchangia!!!Thanks kwa kunishauri nitafute kitabu.
But when you use the word KUSHAMIRI hakuna uhusiano yeyo na MAENDELEO. Hiyo Tanga unayo zungumziwa wewe na hizo barabara za lami, unazosema wewe, hazikujengwa na Waarabu na/au Uislam. Hayo mashamba ya katani hayakuanzishwa na Waarabu kama unavyo dai, wewe.
Zaidi, ya hapo, umeshindwa kuhusisha uislam na civilization kama inavyo daiwa na huyo daktari mwandishi wa kitabu. Mbaya zaidi, umedai kuwa Wamishionari waliharibu na/au kudhoofisha mikoa iliyo jengwa na Waarabu, na kushindwa kuambatanisha uthibitisho kusaidia reply yako.
Hapa hakuna uzungu wala nini. All I need is the proof ya how islam brought civilization in eastern africa.
Kujaribu kubadilisha mada kwa kuleta uzungu na/au ukirsto, wont help you guys.
Juisi ya pilipili ikizidi, basi jamaa wanapata taaaabu sana.
Lete burdani ya civilization katika afrika mashariki na jinsi ilivyo letwa na ndugu zenu mnao wasujudu. lol
acha kubadilibadili ww ni mtaalam sana wa kuushirikisha uislam na uarabu leo vipi, na huachi kuleta mabandiko ya wamarekani na wengineo wanaouchafua na kupaka matope uislam, mara ngapi tumekupa aya kwa mujibu wa qurani kwenye hoja na ww unarejea na picha za waarabu,
kama upo katika forum ya dini kwa kujifunza na kujua upande wa pili, inabidi ujifunze kutoka kwa wahusika na c´vinginevyo, huwezi kutenganisha ukristo na wazungu maana kuna nchi ukizaliwa tu ww ni mali ya kanisa, na ukitaka kujitoa inabidi ulipie, sasa utatenganisha vipi!! ukristo na mzungu!!!
mkuu siku zote huwa unakwepa kujibu hoja au maswali kwa kuleta swali, jifunze kwanza kujibu swali ndio uulize swali,Lete mfano wa hiyo nchi, ambayo ukizaliwa tu, wewe unakuwa Mkristo, na ukihama ukristo, inabidi ulipie. lol
Hakuna uhusiano wowote kati ya Ukristo na uzungu.
lete mfano wa hiyo nchi, ambayo ukizaliwa tu, wewe unakuwa mkristo, na ukihama ukristo, inabidi ulipie. Lol
hakuna uhusiano wowote kati ya ukristo na uzungu.
kwa hakika hilo linauhusiano wa karibu sana hasa wao ndio walio andika hizo bible na kuzieneza wakati walipokuja kuchukua watumwa na kibaya wao wala hawafuati hizo bible hutumia tuu kwa maslahi yao.
Hili lipowa wazi ulimwenguni kote mila za wazungu zinajulikana na kuwavalisha wanawake uchi hadi makanisani na kufanya kila lililokatazwa na mungu na hutakuta mkristo anampinga mzungu hata siku moja bali wao ndio waliokaribu wanaburutwa tuu mpaka shimoni.
Poor reasoning.