Jeene Laga Hoon - Ramaiya Vastavaiya | Girish Kum…: Jeene Laga Hoon - Ramaiya Vastavaiya | Girish Kumar & Shruti Haasan | Atif Aslam & Shreya Ghoshal - YouTube
Mohabbat Barsa de - Full Video Song ft Arjun - Ar…: Mohabbat Barsa de - Full Video Song ft Arjun - Arijith Singh - YouTube
Nancy Ajram - Ma Aw'edak Ma Gheer Official Video …: Nancy Ajram - Ma Aw'edak Ma Gheer Official Video Clip - YouTube
Mrs Kharusy this is for you
Banjaara Full Song 1080p HD 2014 By Mohd Irfan: Banjaara Full Song 1080p HD 2014 By Mohd Irfan - YouTube
Tafuteni hii tu hi tuu kutoka katika film ya kick ya salman khan bonge la song
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za kihindi na kiarabu tuburidike hapa...
donlucchese utafiti Mrs Kharusy iAngel Nylon Zamiluni Zamiluni MziziMkavu life is Short kabanga
Movie ya PHATA POSTER NIKLA HERO inanyimbo nzur sana
Nzuri zile sana atif aslam ana sauti nzuri kweli..
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za kihindi na kiarabu tuburidike hapa...
donlucchese utafiti Mrs Kharusy Angel Nylon Zamiluni Zamiluni MziziMkavu life is Short kabanga
Kumbe na huku umo??
Nisaidie links ya kupata zile songs kali za kihindi/arab. Kuna jamaa niliishi nae room moja kipindi hicho hostel alikuwa nazo kibao. Huwa zinagusa hisia namna fulani hivi. Naomba hata majina nizidownload. Nataka zile kali na maarufu hata km ni za zamani, sizikumbuki majina.