New Boko Haram video emerged


Naomba nikupe 5 kwa ufafanuzi mzuri. Naamini wakurupukaji wote watakuwa wameelewa vizuri. Labda ungeongezea tu kuwatajia sura na aya za quran husika wakatafute kwenye misahafu.
 

Mimi uwa nashangaa dini gani watu wanalazimishwa?hawajui kuabudu lazima roho iwe tayari na sio mwili.Uislam ume base kwenye matendo ya mwili na usafi wa mwili kuliko roho ndo maana utaona mtu ananawa kabla ya kuingia msikitini ili mwili uwe safi ata kama katoka kuua mtu.Mmewahi kujiuliza kwanini maiti uwa inakamuliwa na maji yanapoenda baada ya kuosha maiti???
 
Worse hata huo usafi wa mwili si kihivyo..hujawahi sikiwa kipindupindu kimeshamiri Uswazi...?huko uswazi unajua waswazi wengi ni nani....?Hata masai wenyewe na kunywa maji ya ng`ombe hawana kipindupindu...ni vikopo vyao na vyoo vyao na kushika sana mavi kwa maji kidogo halafu kushika milango,kushika wengine mikono,kula na mikono,kulambisha wengine mikono km dini inavyowaambia..wakati hiyo mikono haijaoshwa kwa sabuni maalumu na maji ya kutosha.
 
Samahani mkuu, mimi si muislamu lakini ninao ndugu na rafiki wengi wa Kiislamu. Ni wanadamu kama mimi na wanaanguka katika makosa ya kibinadamu kama mimi. Tukiiruhusu sheria ya namna hii itaniathiri hata mimi kwani nitapoteza ndugu na rafiki wengi! I beg to differ with you! Sheria hiyo inagusa jamii nzima, wahusika na wasio husika!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…