New AU Chairman

Simba wa afrika aliyebakia, wengine sawa na nyumbu(nyumbu waoga japo ni wengi).

Viva Mugabe a.k.a Mubabe viva!!!
 
Kilichonifurahisha watu wa nchi za magharibi wamefula, huyu mzee anawanyima usingizi kweli.
 
Wote hawa ni wabeba Vibakuli na huelekeza mikono ya chini (lower arm) Ombaomba!!
 
Nahofia lala lala yake vikaoni... siku akikurupuka usingizini aweza sema 'boko haramu wasaidiwe silaha...' pasi na kujua maada iliyokuwa inajadiliwa...
 
Kwa kiasi kikubwa nimewaunga mkono AU kwa kumpa uenyekiti Mugabe. Nchi za magharibu zinapaswa kuwaheshimu viongozi kama Mugabe.
 
kuna waziri mmoja anaitwa Mamba aliwahi kupita na huyo mke wa Mugabe mwaka 2012 sasa ivi yuko jela kwa kula chombo kimoja na muzee....
du...mkuu unataka kusema na mm nahatarisha maisha yangu kwa kukiona hicho chombo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…