BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
sababu iyo hiyo nashangaa kwa nini shirika la reli TRC inaitwa bado TRL hali wahindi wa RITES washakimbizwa kwao.kwanza kwa nini bado wanajiita ATCL badala ya ATC si ile ndoa na South Africa Arway tuliyofungishwa kijanja tulishavunja mkataba. o
precision inazo Boing 2 na ni za kwao, sio za kukodi kama ATCL wanaokodisha.Nachukua nafasi hii kuipongeza Management ya ATCL na Serikali kwa ujumla kufufua Shirika letu la Ndege ATCL.
Mimi ni frequent customer wa Precission but I have never got satisfied with their service. Jana nimepanda ATCL kwa kweli nimekuwa satisfied.
1. Bei ni nzuri sana inatofautiana na PW kwa almost 150% - I know those are introductory rates but I am sure they will shoot to 100%
2. Chakula safi - Huwezi linganisha na yale ma sandwich ya precission wanayotoa mwaka wa tano sasa
3. Aina ya ndege - Ni ndege mpya aina Boeng na siyo ATR wala Caravan
4. Service - Crews are matured and not these dotcoms stuff
Big ATCL big up Government but we need consistence
well said mkuu, wabongo wakiendelea kuitosa ATC yatakuwa yale yale ya kuvitosa vyama vya upinzani wakati wa chaguzi na matokeo yake wote mnayaona kwa jinsi CCM inavyowanyanyasa wananchi.Hata Precision ni ya WaTZ wenyewe,maana wamenunua hisa kwenye soko la hisa hivyo ni vema WaTZ ungeni mkono mashirika yote ili kuimarisha ushindani wa biashara.
Nachukua nafasi hii kuipongeza Management ya ATCL na Serikali kwa ujumla kufufua Shirika letu la Ndege ATCL.
Mimi ni frequent customer wa Precission but I have never got satisfied with their service. Jana nimepanda ATCL kwa kweli nimekuwa satisfied.
1. Bei ni nzuri sana inatofautiana na PW kwa almost 150% - I know those are introductory rates but I am sure they will shoot to 100%
2. Chakula safi - Huwezi linganisha na yale ma sandwich ya precission wanayotoa mwaka wa tano sasa
3. Aina ya ndege - Ni ndege mpya aina Boeng na siyo ATR wala Caravan
4. Service - Crews are matured and not these dotcoms stuff
Big ATCL big up Government but we need consistence
Nachukua nafasi hii kuipongeza Management ya ATCL na Serikali kwa ujumla kufufua Shirika letu la Ndege ATCL.
Mimi ni frequent customer wa Precission but I have never got satisfied with their service. Jana nimepanda ATCL kwa kweli nimekuwa satisfied.
1. Bei ni nzuri sana inatofautiana na PW kwa almost 150% - I know those are introductory rates but I am sure they will shoot to 100%
2. Chakula safi - Huwezi linganisha na yale ma sandwich ya precission wanayotoa mwaka wa tano sasa
3. Aina ya ndege - Ni ndege mpya aina Boeng na siyo ATR wala Caravan
4. Service - Crews are matured and not these dotcoms stuff
Big ATCL big up Government but we need consistence
Hilo shirika linaloitwa ATC au ATCL kwa kweli halina sababu ya kuwepo. Sielewi kwa nini serikali au niseme viongozi wa Tanzania wanalilia sana kuwa na shirika la taifa la ndege. Hii biashara imetushinda kwa mara nyingi sana. Kazi yetu kufufua shirika hilihili wakati likiwa limekufa. Pesa tunayopoteza kulifufua shirika hili ingeweza kutatua kabisa tatizo la maji kwa mji kama wa Dar es salaam lakini tumeng'ang'ania ndege ndege ndege ndege! Kwa nini? Mwenye siri ya hiki kitu naomba anielimishe.