Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,506
- 108,883
Duh!! kweli hivi kwani NN ndiye PJ nyani mzee??swali naulizaWakuu sasa nimeamini rasmi kweli kwenye vita ya haki ushindi ni lazima, hii ni kufuatia Tamasha kubwa la Anti Virus with no apology na kufana kupita maelezo, leo kwa mara ya kwanza asubuhi hii nimesikia nyimbo za wasanii ambao walitupwa kapuni mfano hai Dudu baya nae nimesikia nyimbo zake zinapigwa leo.
Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Vinega, maana siku moja tangu wascan virus majibu ya ubora wa Anti virus nimeyaona leo, na yule kibaraka wa humu JF Nyani Ngabu anahaha kila jukwaa kuitetea redio ya wafu lakini maji yamezidi unga.
Nyani Ngabu ni mbeba mabox fulani tu kule kwa Obama. yeye haoni uharamia wa clouds hata siku moja, na picha hii ndio inayowaumiza moyo.Duh!! kweli hivi kwani NN ndiye PJ nyani mzee??swali nauliza
Duh!! kweli hivi kwani NN ndiye PJ nyani mzee??swali nauliza
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha power breakfast Gerlad Hando anaongea hadi povu linamtoka, hawaamini kilichotea Jumamosi, ile sio nguvu ya Sugu bali ni uwepo wa mungu tu aliamuwa kuonesha kwamba yeye ndio mtoa riziki.dah anti virus sio mchezo,ili ni fundisho kwetu wote ...hatutakiwi kumdharau mtu,ule umati si mchezo,suggu yuko juu.
Nimejifunza kutoka Clouds fm, maana walisema anakuja DMX ili kuwaingiza mkenge raia ambao wanahitaji kuongezewa chachandu.Duh, hiyo title yako hapo juu. Maana tunavyopenda bure!
Nimejifunza kutoka Clouds fm, maana walisema anakuja DMX ili kuwaingiza mkenge raia ambao wanahitaji kuongezewa chachandu.