mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 188
Hamad Rashid na watu wake yupo Zenj Fm 96.8 muda huu.
Hamad Rashid na watu wake yupo Zenj Fm 96.8 muda huu.
Busy gani tena mkutanoni bwana? Hivi Mbona mkutano umeanza mapema sana au ndo kuwahi kufuturu au?Nimetingwa na kazi hapa siwezi kurusha kinachoendelea, nipo hapa karibu na Uwanja anapohutubia ila nipo busy sana kama vipi sikiliza Radio utampata live!
Nimetingwa na kazi hapa siwezi kurusha kinachoendelea, nipo hapa karibu na Uwanja anapohutubia ila nipo busy sana kama vipi sikiliza Radio utampata live!
Busy gani tena mkutanoni bwana? Hivi Mbona mkutano umeanza mapema sana au ndo kuwahi kufuturu au?
Vipi ule wa chadema au inakuuma sana hata huwezi kutujuza?
Nae pia mnambagua? si mtu wenu huyo!!!Search Radio unaweza kufanikiwa kuinasa! Si umesikia katoa mapesa ili mkutano utangazwe live.