New: Air beds for good sleep

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
Kama kuna wafanyabiashara wa vitanda na magodoro humu jamvini, basi kuna hii biashara ya vitanda Vya umeme ambayo yanatumia electrc pump kuyajaza.

Ni bei poa

Their reliable and affordable to buy and use

Let me know if your interested

]
167-6341378A73UC618284M.jpg
SS10207-8948TPS655902.jpg
SS11210-1327TPS879520.jpg
 
Mkuu hayo magodoro sio ya kutumia kwa mda mrefu ni kwa kipindi kifupi kama mkisafiri falimia kubwa na vitanda sio vya kutosha mtu mnatumia au kama kuna mgeni nyumbani na vyumba havitoshi.

Hayako comfortable kama magodoro ya kawaida ,yanabonyea na utaamka mgongo unauma kila siku kama unampango wa kulitumia kwa mda mrefu.

Sio kwamba nakuaribia biashara nadhani ungerekebisha tangazo lako hili watu wajue watanunua nini usije ukafanya watu waende ku-replace magodoro yao kwa hilo godoro la kujaza upepo.
 
<font face="Lucida Console"><font color="sienna">Nimewahi kutumia kwa siku 3 ni zuri kwa kweli inasaidia ukiwa na wageni wa kushitukiza </font></font>
<br />
<br />
Kwa short term ndio lakini naona tangazo lake limelenga kwa mda mrefu kama tunavyotumia magodoro ya kawaida.
 
Usiwe na Panya kwenu au Mitoto Mitundu lazima itoboe tu haha.. Nilipokuwa Mdogo sana tulikuwa na hayo magodoro ya Kujazwa na Upepo size yetu lakini na pia kuna makochi yake pia
 
Back
Top Bottom