Unapoteaje😀😀Kuna mjinga arabuni ana jengo mnatembea na radio call usipobeba ukipotea imekula kwako!..
Umenikumbusha marehemu ginimbindio hivyo mkuu,na ubaya wa wenzetu wanapenda maisha private sana.
so unaweza tokea chanika mpaka tazara ni mapoli yana nyimba tano tu za watu maarufu.tokea msanii anaposhi mpaka uukute mji wa watu wengi ni kasafari rasmi kabisa.