Never waste food, learn via these pics

Jana kwa mara ya kwanza nimewashuhudia watu walokonda hivi pale kanisani kwa mwamposa kawe, yani kuna magonjwa jamani ndugu wanatibu mpaka wanakata tamaa ,ukiwa mzima mwenye afya ,na ukapata chakula shukuru Mungu sana ,wale wa kula na kasaza pia msijione nyie ni werevu sana hapana ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…