Hili ni tatizo la Watanzania wengi sana. Yaani mtu anakuheshimu akishajua wewe ni potential/ anaweza kufaidika. Lakini kabla hajakufahamu, anaku treat kama mlemavu wa akili
Sana mkuu, kamwe sijawahi kumdharau mtu yeyote hapa duniani. Na nikiona watu wananidharau basi nawaacha kama walivyo maana Mimi ndiye ninayejijua vizuri kuliko wao.