Never stop love

Hapo ni noma ingekua mbongo wangeachana kwenye ujana
wao
 
mapenzi ya zamani yalikuwa yanavunja watu MIGONGO, ya siku hizi yanakata kucha tu

Comment nzuri ila na mie kiswahili changu cha huku kijijini kwetu Imalamakoye sijaelewa vizuri haya mambo sijui ya nahau
 


Nimewapenda hawa, mpaka kifo kiwatenganishe-na mara nyingi akitangulia mmoja jiandae kumsindikiza na wa pili!!
 


Nimewapenda hawa, mpaka kifo kiwatenganishe-na mara nyingi akitangulia mmoja jiandae kumsindikiza na wa pili!!

Nakubaliana nawe kwa asilimia nyingi maana nimeona mifaano michache yani mmoja akitangulia mwingine anaweza asimalize mwaka
 
kweli kabisa nilishaona wazee kama hawa mmoja alipoondoka bado kwenye nyumba yake ya milele kunamashada na mwingine huyoooooooooooo akashow love kwa kumfuata mwenziwake
 
kweli kabisa nilishaona wazee kama hawa mmoja alipoondoka bado kwenye nyumba yake ya milele kunamashada na mwingine huyoooooooooooo akashow love kwa kumfuata mwenziwake
kweli kabisa.., bibi yangu alifariki september 2000 na babu akafuata june 2001. walikuwa na miaka 85.
 
Just a curious question; Hawa walivyokuwa watoto vile kulikua na Color Pictures?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…