chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Me napendaga watu wanaokatisha tamaa maana kuwaprove wrong huwa nafrai.
Please,please,please
Never share your dreams with the losers,WHY?
"They will always give you 99 reasons why your dreams won't come true,but you only have a single reason to prove them wrong"
And if you want to learn anything consult an expert.kwa mfano
Golf------Golf pro
Football---qualified coach
As a matter of fact huwezi omba ushauri wa kujiajiri kwa mtu aliyeajiriwa.
In essence,the world of entreprenuership needs us to be like diamond.And Diamond is the hardest substance known and to cut a diamond you need a diamond
Nimalizie kwa kusema;Diamond will never stop being a diamond and become a regular rock because few cant afford it,it remains a Treasure!!!Become a diamond,become a person of value and that is the profound meaning of success.
Muwe na wakati mzuri,until then
Good neighbour
Umeona sasa shida hiyo?It seems you came from a very low family background & very primitive
And you went to school but still uneducated, mentally locked in.. ur looking backward & you wanna move forward, you will crash, Look forward & move forward, acha uswahili & mental darkness

Vizuri kwa kunielewa mkuu.Bongo wanga wengi sana unaweza kuwa mtu peace unashare idea na wana lakini haohao ndio wanakusnitch.
Kushare michongo na wana ni kitu nzuri sana ukikutana na wenye roho safi.
Ila balaa ni pale ukikutana na wenye roho ya kwanini,watataka wakushushe uwe katika level zao msitofautiane, binadamu wanapenda ufanye vizuri ila si zaidi yao.
Tunaishi dunia ya unafiki mwingi, ukijifanya kuanika siri zako utaipenda tu mbona.
ili ufanikiwe inabidi ufanye kazi na team(kushirikiana) huwezi kufanikiwa kwa kufanya kila jambo peke yako.
Nashukuru kwa kunisaidia Mr.miller
Kuna vitu vinahitaji bigger mind
HahahaPorojo tu hizi, mambo ya imani tu hayo ndio imekujenga hivyo,
Ilamaana mtu mwenye ndoa hawezi shauriwa jambo la maisha na mtu asiye na ndoa,?
Hizo ni imani tu
ni kweli, hiyo pia ipo ila unatakiwa uchuje name kusimamia msimamo wako kama unauamini Kuwait uko sawaUnakuta mtu namiaka 50hamna alichofanya yuko yuko tu, hata mm siwezi kumwambia ndoto zangu najua utanikatisha tamaa
Agiza nalipaLabda ya chakula na juice ya tende![]()
![]()
Nafikiri umeona tatizo lilipo ndio mana umesema hivyo.Hii nchi kuna kila sababu ya kuanza kufundisha watu kiingereza Nyumba kwa nyumba
Binafsi nimekuelewa, Naamini wengi wanakupinga kwa sababu ya misunderstanding inayotokana na neno loosers.Please, please, please!
Never share your dreams with the losers, Why?"They will always give you 99 reasons why your dreams won't come true, but you only have a single reason to prove them wrong"And if you want to learn anything consult an expert.
Kwa mfano;
Golf------Golf pro
Football---qualified coach
As a matter of fact huwezi omba ushauri wa kujiajiri kwa mtu aliyeajiriwa.
In essence, the world of entreprenuership needs us to be like diamond. And diamond is the hardest substance known and to cut a diamond you need a diamond.
Nimalizie kwa kusema; diamond will never stop being a diamond and become a regular rock because few cant afford it, it remains a treasure become a diamond, become a person of value and that is the profound meaning of success.
Muwe na wakati mzuri, until then
Good neighbour
Amna sijakuchoka,nsamehe bure
Ngoja nije PM nikuulize vizuri
Lakini hata ukitumia tafsiri ya kawaida unakua upo sawa.Binafsi nimekuelewa, Naamini wengi wanakupinga kwa sababu ya misunderstanding inayotokana na neno loosers.
Wengi wametumia tafsiri ya kawaida ya loosers kama "watu ambao hawajafanikiwa katika jambo fulani kimaisha."
loosers wanaouzungumziwa hapa ni wale watu wenye negative perceptions na wametawaliwa na negativity katika maisha yao. Waoga wa kujaribu na wanaopenda kukatisha wenzao tamaa.Sio wapenzi wa kujifunza vitu vipya wala kukosolewa na daima wao hujifanya ndio wajuaji.Wanawivu na hawapendi kumuona mtu kafanikiwa. Hao ndio loosers na tabia zao ndio zinazowafanya wasifanikiwe.
Imebidi niangalie avatar yako kwanza.Binafsi nimekuelewa, Naamini wengi wanakupinga kwa sababu ya misunderstanding inayotokana na neno loosers.
Wengi wametumia tafsiri ya kawaida ya loosers kama "watu ambao hawajafanikiwa katika jambo fulani kimaisha."
loosers wanaouzungumziwa hapa ni wale watu wenye negative perceptions na wametawaliwa na negativity katika maisha yao. Waoga wa kujaribu na wanaopenda kukatisha wenzao tamaa.Sio wapenzi wa kujifunza vitu vipya wala kukosolewa na daima wao hujifanya ndio wajuaji.Wanawivu na hawapendi kumuona mtu kafanikiwa. Hao ndio loosers.