Never mess with the Russians


Haaahaaaa!
Jamaaa una dhambi sana wewe, yaani umemaliza kabisaaaa.
Wanshindwa hata kuandika comment.
Teh teh teh.
Russian Bear, Russian Bear, Russian Bear!!!!
 
Dah...mshikaji una dhambi sana.
Comments gani hizo!!
 

Haha Umeuwa kabisa
 
Hehehe ndo uwezo wao ulipoishia so sitawashangaa wakati wenzAo marekani matumbo joto huko



matumbo joto watu wanakula bata miami beach!! sijawahi kuona mtu kama wewe, mgonjwa kumcheka mzima. ronaldooo alikuwa miami beach
 
WORLD MILITARY CHALLENGE : SPECIAL FORCES BOXING MATCH

Russian Spetznaz Vs US Marine Boxing Match
I hear marines are the best in the U.S.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Cuban Commando Vs US Marine
Worse enough The U.S marine is a military instructor.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

CC: Masunga Maziku , Dotworld
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…