20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 8,179 7,179 Jan 2, 2016 #1 Katika lolote ufanyalo. Utapigika, utaanguka, usife nguvu wala kukata tamaa. Simama, pangusa vumbi andaaa mbinu mpya, songa mbele utapata ushindi tu. Maana strength ipo rohoni na wala sio mwilini Attachments 1451739358075.jpg 58.2 KB · Views: 31
Katika lolote ufanyalo. Utapigika, utaanguka, usife nguvu wala kukata tamaa. Simama, pangusa vumbi andaaa mbinu mpya, songa mbele utapata ushindi tu. Maana strength ipo rohoni na wala sio mwilini