[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14]Wanawake ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayetaka kuwa na Six Packs ili a date na mwanamke mmoja tu.. Ukiona mwanaume ana Six Packs maana yake anataka kuvutia wanawake wengi..
Ungejua Kazi anayopata mwanaume mpaka awe na Six Packs ungeamini maneno yangu..
Ni Kama vile mwanaume kuwa na mwanamke anayeongeza Makalio. Mwanamke akiongeza makalio maana yake anataka kuvutia wanaume wengi.. Hawezi mwanamke kukubali kupata shida zote zile za kuongea makalio (ana risk ya kupata hata Cancer) ili awe na ww peke yako.. Kitu kama hicho hakuna..
wallet yako itakuwa ina mahusiano mazuri na wao.....mkuu...!!!..Mimi nina kitambi ila wanajileta balaa sasa sijui wanavutiwa na nn
Wengine tumezaliwa nazo izo cxpk kwaiyo ww unawafanya madem zetu wasituamini tuombe radhi kwanzaWanawake ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayetaka kuwa na Six Packs ili a date na mwanamke mmoja tu.. Ukiona mwanaume ana Six Packs maana yake anataka kuvutia wanawake wengi..
Ungejua Kazi anayopata mwanaume mpaka awe na Six Packs ungeamini maneno yangu..
Ni Kama vile mwanaume kuwa na mwanamke anayeongeza Makalio. Mwanamke akiongeza makalio maana yake anataka kuvutia wanaume wengi.. Hawezi mwanamke kukubali kupata shida zote zile za kuongea makalio (ana risk ya kupata hata Cancer) ili awe na ww peke yako.. Kitu kama hicho hakuna..
Hahaha kwa hiyo sihangaiki na six pack mimi ni joging kidogokidogo na nikipata ile kasongo mundende sina shakawallet yako itakuwa ina mahusiano mazuri na wao.....mkuu...!!!..
labda wew dili kwao@ albinomweusiMimi nina kitambi ila wanajileta balaa sasa sijui wanavutiwa na nn
Mimi Nina 12 packs na wake wawili kila jambo Huwa ni Nia kufanya mazoezi wanawake wakuone utaishia kukanumbwa tuWanawake ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayetaka kuwa na Six Packs ili a date na mwanamke mmoja tu.. Ukiona mwanaume ana Six Packs maana yake anataka kuvutia wanawake wengi..