Never Again - Rwanda genocide

Mahakama ya arusha kuhusu mauaji ya kimbari itakuwa haijamaliza kazi kama kagame atakuwa hajasimama pale akiwa na pingu mikononi,ni mtuhumiwa namba moja


Paul kagame
Amegundua kuwa jamii ya kimataifa bado inafanya uchunguzi dhidi ya mauaji ya kimbari.
Paul kagame ameanza kujihami kwa kuituhum Ufaransa kuhusika na mauaji ili hali yeye ndie alie katika group lililomuua Juvernal Habyarmana.
 
kagame nimhimu ashitakiwe,maana nimuuaji no moja,mbona hamtoe Gen,laurant Nkunda Ambaye Alifanya Mauaji Yakutisha Drc,kajificha Rwanda Kwa Kagame Na Dunia Haioni Hayo!
 
Your ignorance amazes me
 
Naona bado mzee wa visasi ana kisasi na Kagame.
 
kagame nimhimu ashitakiwe,maana nimuuaji no moja,mbona hamtoe Gen,laurant Nkunda Ambaye Alifanya Mauaji Yakutisha Drc,kajificha Rwanda Kwa Kagame Na Dunia Haioni Hayo!


Kwa africa watawala wengi hawapendi kushinikizwa kuachia ngazi kwa njia halali,Mmoja wao ni huyu rais wa Rwanda. itakumbukwa hata yeye alikua muasi wa misituni miaka 1980-1990 hadi pale kifo cha habyarimana kutokea na kupewa makamu wa rais na Uchaguzi wa kwanza kabisa kufanyika akachaguliwa kuwa rais 2001.

Viongozi pamoja na vyama vya Upinzani havina nguvu sana dhidi ya serikali ya Paul kagame,
Nguvu nyingi zinatumika kujihami dhidi ya vyama vya Upinzani.

Watawala wa Africa hawataki kuwajibika kuusu haki za binaadam zinazokandamizwa waziwazi kwa shinikizo la mtawala.
 
100 days of killings without take any immediate action the world must be answerable for sure

i think the world should be answerable first for the 4 YEARS of killings by RPA (tutsi army led by kagame) from 1990 to 1994, that led the gov of Habyarimana agree to a power sharing agreement in Arusha. Then only should the world discuss the mere 100 days
 

1. Hakuna utata juu ya genocides za cambodia wala israel na wajerumani, tofauti na "genocide dhidi ya watutsi" ambapo waliouawa majority ni wahutu! Genocide ambayo ilitokea katikati ya vita vilivyodumu kwa miaka minne, ambapo yule aggressor ndie anaachiwa nafasi ya kusema nani aliuawa!
hakuna mtu anabisha kuwa watu zaidi ya milioni wamekufa, swala ni nani hasa alikufa wahutu au watutsi? kwa aibu marekani ilishindwa kuita genocide against hutus kwa sababu kagame wamemtengeneza wao, hivyo toka 94 hadi leo inaitwa Rwandan genocide na walio wengi, kagame aliibadilisha iwe "genocide against tutsi" mwaka 2004! Hilo ndilo linaloleta tatizo.

2. Tanzania ilikuwa mwenyeji wa mazungumzo ya amani kati ya RPA na serikali ya rwanda Arusha. sisi tulaumiwe kwa lipi? mauaji yaliyotokea katika hizo siku mia moja ambayo at best yana utata juu ya nani victim nani perpertrator, yanakuwaje mazito kuliko mauaji ya miaka minne ambayo hayana ubishi kuwa mhusika ni RPA?

3. Nakubaliana na wewe kuwa kuna uwezekano wa genocide kutokea tena this time against tutsis for real. kilichotokea Rwanda 1994 ni exactly kilichotaka kutokea DRC juzi hapa with M23! Fikiria kama M23 wangetungua ndege ya kabila, halafu wacongo waanze kuua watutsi halafu jeshi zima sasa la M23 likisaidiwa na Rwanda (kama RPA ilivyosaidiwa na Uganda), wapindue nchi na kuua even more congolese, halafu waseme eti kulikuwa na genocide against tutsis and "moderate" congolese, kila mwaka waazimishe mafuvu ambayo wacongo wote wanajua ni ya kwao sio ya watutsi..... Tanzania inatakiwa kupongezwa kwa kustopisha udhalimu huu ambao surely ungejirudia.
 
kweli wanawadhalilisha hao marehemu kwa kuwa wengine walikuwa babu na bibi au wazazi,in african traditions,wanatakiwa kuzikwa,anayekaa na mafuvu bila sababu za kisayansi ni mchawi tu,labda kagame akishaua wapinzania wake huwa anaenda humo kuongea na mzimu wake
 

Usichokijua ni kama usiku wa kiza
 

Hahahaha! What a joker! karibu kigali wakati huu wa remembrance. Labda huo ubongo wako utaamka from "self-induced coma"
 

Sick. You need help
 
First suspect wa Rwanda Genocide nasikia ni PK yeye ndo alipanga plot ya kumuuaa Juvenal Hyeberiana na ndo inaaminika mwanzo wa visasi na hiyo civil manslaughrer war?sasa mbona hakamatwi?

Kwanza fahamu maana ya GENOCIDE halafu uone kuongelea Genocide mkuu,bila hivyo utajikuta unaongelea hayo ya nasikia!
 
Mauji ya halaki ya rwanda muhusika mkuu ni nani?.kagame akiwa ni mkimbizi kwanini alipewa elimu ya ushushushu na kijeshikule marekani,kwanini umoja wa maifa ulishindwa kudhibiti,kwanini wanasema mauji ya halaiki zidi ya watusi na wakati na wahutu walikufa pia,kwanini serikali ya rwanda inaongozwa na watutsi 90% ambao ndiyo wachache zaidi rwanda?
 


Jmali, Genocide is not about numbers nahaihitaji statistics na mahesabu kuthibitisha kuwa kweli Genocide ilitokea:
War crimes and Genocide nivitu viwili tofauti, as far as i know kweli kuna wahutu waliuawa manake risasi haichagui:
kwa upande mwingine, nina ushahidi wa askali wa RPF waliouawa hadhalani kama adhabu yao kwa kulipiza kisasi:
Kuna wengi wa askali wa RPF walifungwa sababu ya kulipiza kisasi:
Kusema kuwa wahutu waliokufa ndio wengi,japo sio kweli manake hizo ni campaign zenu lakini haiondoi ukweli kwamba wa Tutsi ndio waliuawa kwanza bila sababu yoyote,(only that God created them as Tutsi) ingekuwa sababu nyingine then msingeua watoto wadogo:
Mauaji dhidi ya Hutu niyale yakulipiza nahakukuwa na mpango wowote wa RPF kama chama wakumaliza wa Hutu na kesi hizo zilikuwa individual cases kutoka kwa wale askali waliokuwa na hasira ya kuuliwa kwa familia zao,lakini mpango wa kumaliza wa Tutsi ulikuwepo:
Kagame alikuwa busy akipigana na serikali ya Habyarimana,kumbuka this was a rebel movement with limited resources hakukuwa na mda wa kuua Raia:
Genocide against Tutsi imekubaliwa na umoja wamataifa, and this was based on facts:
UN members including All Eastafrican countries wameonyesha upande wao kwenye suala hili:
Serikali ya Tanzania imetuma ujumbe kwenye kumbukumbu hizi na ilikuwa officially represented:

"You are isolated and it is a shame to support you openly, ndio maana hata comments of your style will remain on online forums where you hide your identity, i bet you can`t post this on printed or broadcasting media and you cant stand firm and post those arrogants openly:
 
Kwanza fahamu maana ya GENOCIDE halafu uone kuongelea Genocide mkuu,bila hivyo utajikuta unaongelea hayo ya nasikia!

Mkuu, PK anakulipa per day, week or month? samahani nauliza kwa nia nzuri tu.
 

Huwezipata likes zaidi ya za koba na mrutongore
 

Ningekuwa mwalimu wako ningekupiga zero kabisa na hiyo masta usingepata.Nani alikuambia kuwa waliouawa ni watusi peke yao? Unajua mauaji yaliyofanywa na RPF na unajua idadi ya watusi ilikuwa kiasi gani Rwanda? Rudi darasani ukaandike upya hiyo mastazi yako
 

Baada ya kumtukana Rais wetu mimi nadhani wakati umefika tuwaachie watatue matatizo wenyewe. Wakiamua waishi kwa amani au kuchinjana tena shauri yao. Na incase wakichinjana tena naomba serikali isiwape hifadhi wakimbizi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…