Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Katika maisha yangu kuna kitu hakitakuja kunitoka katika kumbukumbu zangu, nilikuwa mtoto mdogo sana wakati mauaji ya kimbari ya Rwanda yanatokea lakini nilichokiona kinasikitisha sana mpaka leo,nikiwa mkazi wa Kagera nilijionea kwa macho maiti zikipita mto Kagera. Kila siku huwa sipati jibu je maiti zile zilikuwa za Wahutu ama ni za Watusi? Nasema hivo maana eneo karibia zima la upande wa kasikazini mwa Rwanda lilikuwa limeshikiliwa na majeshi ya RPF. Kinachonisikitisha kwa sasa ni kwamba Rwanda mwezi huu itaenda kuadhimisha miaka 20 ya mauji ya kimbari lakini mpaka sasa watu wanakufa tu ingawa si kwa kiwango kile cha mwaka 1994. Ziaidi ya yote ni kwamba Rwanda hata kama mtu akiumwa na mbu utasikia wanalaumu genocide, yaani Rwanda inatumia neno genocide vibaya, hata mtu akipigana na mke wake chumbani utasikia genocide, wakiwa wanachangia majeshi yao kwenda kulinda amani hawakosi kutamka neno genocide,wakiguswa kuhusu DRC utasikia genocide, rais wao akiwa popote pale hata awe amekaribishwa ikulu ya Washington hatatoka bila kutamka neno genocide. In short wanatumia neno genocide km sympathy ya kutaka waonewe huruma wakati wao sio wa kwanza kuwa na genocide.
Nani hakumbuki Kosovo na Bosnia watu walivokufa? Lakini wapi ulisikia Kosovo na Bosnia inaongelewa kama genocide ya Rwanda? Ifike mahali waseme yaliyotokea yameshatokea sasa wanatakiwa kusonga mbele Rwanda yenye amani na utulivu, ifike mahali yale mafuvu waliyoyakusanya kwenye jumba la maonyesho nayo yaondolewe maana yanazusha hisia zingine kwa vijana ambao wakati mauaji yanatokea walikuwa hawajazaliwa maana kwa upande wangu hayana mafundisho yoyote. What is so special or what is behind Rwanda genocide?

Umesema kweli ingawa historia si rahisi kufutika wangeangalia namna ya kuiandika na siyo kuweka mafuvu maana mimi kusema ukweli sijawahi kuona sehemu ambayo wamekusanya mafuvu ya binadamu, binadamu hata kama ni marehemu they have their respect. Hahahaha unamaanisha Kagame kwa sasa yupo Brussels kwenye mkutano wa EU and Africa partnership kwa hiyo hatatoka kimya kimya bila kutamka neno genocide?
tatizo ni hio "historia" kuwa sio kweli. kagame na kundi lake wana historia yao na majority ya wananchi wana ya kwao. Historia ya yule "mwenye bunduki" kwa wakati huo ndio ya kweli.
kusema ukweli, mauaji ya kimbari Rwanda yanasikitisha mno, kupita kiasi. nilibahatika kusoma sana historia yake, nimeona picha na nimesoma vitabu vingi sana. nimeandika pia thesis kuhusiana na topic inayogusa genocide ya Rwanda katima masters yangu ya sheria. kila mwanadamu anatakiwa kusema "never again", na ninaamini haitakuja kutokea tena hapa africa na dunia kwa ujumla.Katika maisha yangu kuna kitu hakitakuja kunitoka katika kumbukumbu zangu, nilikuwa mtoto mdogo sana wakati mauaji ya kimbari ya Rwanda yanatokea lakini nilichokiona kinasikitisha sana mpaka leo,nikiwa mkazi wa Kagera nilijionea kwa macho maiti zikipita mto Kagera. Kila siku huwa sipati jibu je maiti zile zilikuwa za Wahutu ama ni za Watusi? Nasema hivo maana eneo karibia zima la upande wa kasikazini mwa Rwanda lilikuwa limeshikiliwa na majeshi ya RPF. Kinachonisikitisha kwa sasa ni kwamba Rwanda mwezi huu itaenda kuadhimisha miaka 20 ya mauji ya kimbari lakini mpaka sasa watu wanakufa tu ingawa si kwa kiwango kile cha mwaka 1994. Ziaidi ya yote ni kwamba Rwanda hata kama mtu akiumwa na mbu utasikia wanalaumu genocide, yaani Rwanda inatumia neno genocide vibaya, hata mtu akipigana na mke wake chumbani utasikia genocide, wakiwa wanachangia majeshi yao kwenda kulinda amani hawakosi kutamka neno genocide,wakiguswa kuhusu DRC utasikia genocide, rais wao akiwa popote pale hata awe amekaribishwa ikulu ya Washington hatatoka bila kutamka neno genocide. In short wanatumia neno genocide km sympathy ya kutaka waonewe huruma wakati wao sio wa kwanza kuwa na genocide.
Nani hakumbuki Kosovo na Bosnia watu walivokufa? Lakini wapi ulisikia Kosovo na Bosnia inaongelewa kama genocide ya Rwanda? Ifike mahali waseme yaliyotokea yameshatokea sasa wanatakiwa kusonga mbele Rwanda yenye amani na utulivu, ifike mahali yale mafuvu waliyoyakusanya kwenye jumba la maonyesho nayo yaondolewe maana yanazusha hisia zingine kwa vijana ambao wakati mauaji yanatokea walikuwa hawajazaliwa maana kwa upande wangu hayana mafundisho yoyote. What is so special or what is behind Rwanda genocide?
kusema ukweli, mauaji ya kimbari Rwanda yanasikitisha mno, kupita kiasi. nilibahatika kusoma sana historia yake, nimeona picha na nimesoma vitabu vingi sana. nimeandika pia thesis kuhusiana na topic inayogusa genocide ya Rwanda katima masters yangu ya sheria. kila mwanadamu anatakiwa kusema "never again", na ninaamini haitakuja kutokea tena hapa africa na dunia kwa ujumla.
mambo mengi yalinisikitisha, lakini kitu kilichonisikitisha zaidi ni kuona wamagaribi wanatuma ndege zao kuja kuwachukua raia na wanajeshi wao na kuwaacha raia wa kitusi mikononi mwa wauaji. watoto wadogo, wanawake, walemavu na raia wasio na silaha waliachwa mchana kweupe.....wabelgiji,wafaransa na wamarekani walikuja kuondoa raia wao wote ikijumuisha na wale wengine waliokuwa wanajeshi...wakati wanawaondoa waliokoa hata mbwa wao wa kizungu wakapandisha kwenye ndege. kumbuka, wakati wanaondoka wauaji walikuwa wameshika mapanga yao wanasubiri evacuation ya wamagaribi ikamilike ili waanze kazi. ni mauaji ya kusikitisha sana.
nchi za africa mashariki zilikaa kimya bila kutuma jeshi kwenda kuokoa watu wasiuawe. siku 100 za mauaji watu zaidi ya laki nane,...only in a hundred days watu wote hao na tumekaa kimyaaa hata kuingilia kati akuna.
jambo tunalotakiwa kujua ni kwamba, genocide is the worst crime of all in this world kwasababu its a crime against a group sio against individual persons. ni tofauti na makosa mengie kabisa kwasababu mtu anauawa sio kwasababu ametenda kosa fulani bali ni kwasababu yeye ni miongoni mwa member wa kundi fulani la watu. you are killed just because you are a member of a group. hivyo hata mtoto mdogo aliyezaliwa leo anauawa kwasabab "kwanini umezaliwa mtusi?"...just like that, wazee, wagonjwa ambao hawajafanya hata kosa, kina mama wanaonyonyesha,wenye mimba etc anawindwa kwasababu ni miongoni mwa watu wa kundi fulani ndio maana anauawa....hakuchagua kuzaliwa kwenye kundi lile na ni Mungu alimfanya azaliwe kwenye kundi lile na anauawa kwasababu tu yeye ni mtu wa kundi lile (hapa namaanisha kabila lile,dini ile, taifa lile n.k).
watusi rwanda walikuwa wanawindwa hata na majirani zao walioishi nao miaka na miaka, ni kama kumwinda mnyama vile, try to imagine wewe hapo unayesoma hapa unawindwa kabisa kama vile wanyama wanavyowindwa na unauawa. try to step into their shoes....walikuwa kwenye wakati mgumu sana. kwenye roadblocks walikuwa wanakagua vitambulisho ambavyo wabelgiji waliwagawanya kwa ukabila kwenye vitambulisho, ukionekana wewe ni mtusi unashambuliwa on the spot, waliwindwa kama wanyama, waliuawa kwa ukatili usiopimika. the same to jews kule ujerumani. sipendi hata kutafakari kwasababu inaumiza sana. Mungu awasamehe wote waliofanya hayo mambo jamani.
Katika maisha yangu kuna kitu hakitakuja kunitoka katika kumbukumbu zangu, nilikuwa mtoto mdogo sana wakati mauaji ya kimbari ya Rwanda yanatokea lakini nilichokiona kinasikitisha sana mpaka leo,nikiwa mkazi wa Kagera nilijionea kwa macho maiti zikipita mto Kagera. Kila siku huwa sipati jibu je maiti zile zilikuwa za Wahutu ama ni za Watusi? Nasema hivo maana eneo karibia zima la upande wa kasikazini mwa Rwanda lilikuwa limeshikiliwa na majeshi ya RPF. Kinachonisikitisha kwa sasa ni kwamba Rwanda mwezi huu itaenda kuadhimisha miaka 20 ya mauji ya kimbari lakini mpaka sasa watu wanakufa tu ingawa si kwa kiwango kile cha mwaka 1994. Ziaidi ya yote ni kwamba Rwanda hata kama mtu akiumwa na mbu utasikia wanalaumu genocide, yaani Rwanda inatumia neno genocide vibaya, hata mtu akipigana na mke wake chumbani utasikia genocide, wakiwa wanachangia majeshi yao kwenda kulinda amani hawakosi kutamka neno genocide,wakiguswa kuhusu DRC utasikia genocide, rais wao akiwa popote pale hata awe amekaribishwa ikulu ya Washington hatatoka bila kutamka neno genocide. In short wanatumia neno genocide km sympathy ya kutaka waonewe huruma wakati wao sio wa kwanza kuwa na genocide.
Nani hakumbuki Kosovo na Bosnia watu walivokufa? Lakini wapi ulisikia Kosovo na Bosnia inaongelewa kama genocide ya Rwanda? Ifike mahali waseme yaliyotokea yameshatokea sasa wanatakiwa kusonga mbele Rwanda yenye amani na utulivu, ifike mahali yale mafuvu waliyoyakusanya kwenye jumba la maonyesho nayo yaondolewe maana yanazusha hisia zingine kwa vijana ambao wakati mauaji yanatokea walikuwa hawajazaliwa maana kwa upande wangu hayana mafundisho yoyote. What is so special or what is behind Rwanda genocide?
Muongo siku zote huwa anarudia rudia uongo wake kutokana na hali ya kisaikolojia waingereza wanaita "guilty conscious". ukimsingizia kuwa mtu ni mwizi, halafu akapigwa akafa, utajikuta kila siku unasisitiza kuwa "alikuwa mwizi" hata kama hujaulizwa!
Hizo swali la maiti za mto kagera ni mojawapo tu ya ukweli ambao kagame na kundi lake wanafunika.
Najinukuu toka uzi mmojawapo humu humu JF maneno niliyowahi sema wakati nikijadili the so called 'genocide against tutsis'.
---
IDADI NA TAKWIMU YA WAHANGA:
Sensa rasmi ya serikali kufanyika Rwanda kabla ya genocide ya 1994 ilifanyika mwaka 1991. Sensa hii inasema idadi ya watutsi wote Rwanda ilikuwa 596,400, au 8.4% ya wanyarwanda wote wakati huo. Hivyo logically haiwezekani uwe na vifo kuanzia 800,000 hadi millioni vya watutsi mwaka 1994, miaka mitatu tu baadae. Maana yake utakuwa umemaliza watutsi wote, ambao wangebaki wangekuwa watoto wa miaka 3 tu yaani waliozaliwa baada ya sensa.
Baada ya kuingia madarakani serikali ya Kagame ilinyofoa vipengele vyote vya asilimia za wahutu na watutsi na sasa haichapishi asilimia au idadi kamili za wahutu na watutsi badala yake inachapisha idadi ya jumla tu. Yenyewe imeweka idadi tu jumla ya watu 7,148,496 mwaka 1991. Source: National Institute of statistics Rwanda. Hivyo hii 8.4% inapatikana katika vyanzo vingine huru. Vya kwangu baadhi ni hivi hapa: (prof Congleton, prof Hillman, prof konrad; 40 years research on rent seeking2: rent seeking in practice. springer-verlag berlin Heidelberg; 2008, pg 193).
"Monbiot takes issue with our claim that the "great majority of deaths were Hutu", and calls this "as straightforward an instance of revisionism as I've ever seen". But Rwanda's 1991 census estimated the Tutsi population at 600,000, and some 300,000 Tutsi survived the violence of 1994. Whether 800,000 or 1 million people perished, the great majority of deaths must have been Hutu. The standard account of the "Rwandan genocide" is monumentally flawed. We also cite a 1994 US state department memo that Kagame's forces were killing "10,000 or more Hutu civilians per month" source: the guardian uk
"There are an estimated 300,000 survivors of the Rwandan genocide" source: Rwandan survivors. o Hii takwimu ya asilimia 14% watutsi ni baada ya genocide sio kabla, na vile vile ni estimation tu sio exact kama ilivyo kwa sensa. o
Mwaka 2005, jumuiya ya wahanga wa genocide wa kitutsi inayoitwa Ibuka ilifanya sensa ya nyumba kwa nyumba kupata idadi ya watutsi waliokufa kwenye genocide. Zoezi hili lilipata Baraka za serikali, lilikuwa wazi na lilitangazwa sana kwenye media ili wananchi watoe ushirikiano. Walipata idadi ya vifo vya watutsi 355,745 tu! Kwa maana nyingine kila mwaka, ikifika ile siku ya maazimisho ya genocide, watutsi waliofiwa, wanaadhimisha vifo vya ndugu zao 355,745 tu si zaidi ya hapo! Serikali ya Kagame ikakataa kuchapisha matokeo haya. sensa hii ilifanyika hili halina ubishi, pili; matokeo yake yakazuiwa kutolewa. Source: proxylake.
Quote: "The Rwandan gov of the RPF prefers to maintain this confusion. That is why it has refused to reveal the number of dead Tutsis and dead Hutus. It prefers things blurred so the world does not know the extent of massacres committed against the Hutu by the RPF and to inflate the number of Tutsi victims. It is necessary to note that the census of the population organized under the supervision of the UN (UNDP, UNFAP, CEA) and with the aid of countries such as the USA and Canada that terminated on the 15[SUP]th[/SUP] of August, 1991 fixed the total number of Tutsis in the country at 8.4% of the population of 7,099,844 persons. Thus, the numbers that suggest that the entire Tutsi population was massacred between April and July 1994 are simply fantasies." Source: The New World Order Ideology and Africa, Tatah mentah, 2010, pg242.
Conclusion: Serikali ya Kagame kwa makusudi haitaki wahutu wahesabu watu wao waliokufa kwa sababu kwa mahesabu ya vifo 800,000 mpaka milioni, wahutu watakuwa zaidi ya 400,000 au angalau nusu ya wahanga wa genocide. Ndio maana sasa badala ya kuitwa Rwandan genocide, sasa inalazimishwa kuitwa genocide against Tutsis! Ili iwe kosa kuhesabu wahutu nao kama wahanga wa genocide.
Kama watutsi wenyewe waliofiwa wanaomboleza vifo chini ya laki nne, hao kadiri ya laki nne mpaka 6 wengine ni akina nani? Serikali inajuaje kuwa hawa ni watutsi bila ushahidi wowote? Victoire ingabire amefungwa miaka kibao kwa kosa la kuuliza swali "when will our dead (hutus) be remembered"?
"But the recent volume of supposed 'Genocide Deniers Inc.' includes articles by some very accomplished and highly respected Rwanda scholars, including professors David Newbury, Catherine Newbury, and Dr. Scott Strauss. None of these accomplished academics have ever previously fallen anywhere near the category 'genocide deniers'." source: Pentagon releases satellite photos of 94 genocide.
World leaders have descended on Kigali to join the people of Rwanda in remembering and honouring the more than a million compatriots killed during the 1994 Genocide against the Tutsi.
At least seven Heads of State and several statesmen and women from around the world had arrived in the country by press time last evening ahead of todays main commemoration event at Amahoro National Stadium in Remera, Kigali, to be held under the theme Remember, Unite, Renew.
Among the Presidents in town include Yoweri Museveni of Uganda, Uhuru Kenyatta of Kenya, Ali Bongo Ondimba of Gabon, Ibrahim Boubacar Keïta of Mali, Denis Sassou Nguesso of the Republic of Congo, Hassan Sheikh Mohamud of Somalia, and Ethiopian Prime Minister Hailemariam Desalegn.
Other dignitaries who arrived yesterday include the United Nations Secretary-General Ban Ki-moon, Burundi First Vice President Prosper Bazombaza, former British Prime Minister Tony Blair, Tanzanian former president Benjamin Mkapa, and Nkosazana Dlamini Zuma, the Chairperson of the African Union Commission.
The US Ambassador to the UN, Samantha Power, is leading the US delegation, which also includes Russell Feingold, the special representative for the African Great Lakes region and the Democratic Republic of the Congo.
Hundreds of delegates, including foreign political leaders, celebrities, scholars and activists are expected to attend the national commemoration ceremony, expected to be widely covered by the global media, with many international media organisations having sent in crews.
Notable absentee is France which pulled out of the commemorations at the last minute in protest of what they termed as Rwandas renewed accusations of Paris well documented involvement in the 1994 Genocide.
Former French foreign minister Bernard Kouchner, who will be attending the event, criticised his countrys action describing it as childish reaction.
The British delegation is led by Foreign Secretary William Hague, and also includes the Minister for Africa Mark Simmonds.
Expected to lead the Belgian delegation was the Deputy Prime Minister and Minister for Foreign Affairs Didier Reynders, and Jean-Pascal Labille, the Minister of Development Cooperation.
They were to be accompanied by, among others, the families of the ten Belgian paratroopers killed in Kigali on April 7, 1994, just hours after the shooting down of the plane that was carrying then Rwandan president Juvenal Habyarimana, which has since been blamed on extremists within his camp, to create the excuse for carrying out the genocide.
The Belgian UN peacekeepers were killed around the same time as then Prime Minister Agathe Uwilingiyimana, a moderate Hutu whom they were guarding, as genocide got underway in earnest.
Across Rwanda, citizens are expected to converge at venues in their respective villages (smallest administrative unit) to pay homage to Genocide victims.
At the stroke of noon today, the whole country will also observe a minutes silence in remembrance of Genocide victims.
President Paul Kagames Genocide anniversary speech will also be broadcast on all TV and radio stations, and will be followed by citizens meeting in their villages.
The national flag and indeed flags of other countries represented in Rwanda will also be lowered to half-mast throughout the official mourning week.
A three-month nationwide tour of the Kwibuka (Remembrance) Flame is among the activities carried out in the build-up to the 20th Genocide anniversary.
The Flame, which was lit on January 7 and made its final stop on Saturday at the Integrated Polytechnic Regional Centre Kigali (former ETO Kicukiro) in Kicukiro District , officially marking completion of its tour of all the 30 districts, will be returned to the Kigali Memorial Centre this morning ahead of the start of todays ceremonies.
Todays commemoration events will start with the lighting of the National Flame of Mourning at the Kigali Memorial Centre by President Kagame and the First Lady, Jeannette Kagame. The flame will last for 100 days, equal to the number of days the Genocide lasted.
While officially the national mourning will last for a week, commemoration activities will go on for three months through July 4, the day when the Rwanda Patriotic Army (RPA), the armed wing of the Rwanda Patriotic Front (RPF) took Kigali and stopped the killings.
President Kagame and the First Lady will also lay wreaths at the memorial, home to the remains of at least 250,000 Genocide victims. Also to pay their respects at the memorial are the visiting Heads of State.
Besides President Kagame, others expected to speak at the main commemoration event at Amaharo stadium include Ban Ki-moon and President Museveni.
In 1994, the UN significantly downsized its peacekeeping mission, paving the way for widespread killings, especially around Kigali where Unamir soldiers were based.
A National Walk to Remember is also scheduled to take place later this afternoon led by President Kagame.
The march, expected to attract many youths, will start from the Parliamentary Buildings in Kimihurura and end at Amahoro National Stadium, where a national vigil will subsequently begin.
Similar walks will take place in other countries around the world, with the involvement of Rwandans in the Diaspora, as a show of solidarity with Rwanda and in remembrance of Genocide victims.
The UN set aside April 7 as the day of the Remembrance of the victims of the Genocide against the Tutsi.
Contact email: editorial[at]newtimes.co.rw