Wakuu naomba kuelimishwa juu ya hili maana mimi najua hapa duniani kuna vitu viwili vyenye nguvu asili navyo ni MAJI NA MOTO!Sasa basi mimi ninaomba kujua kati ya hivyo nikipi chenye nguvu kuliko mwenzake??
Nasubiri udadafuzi wenu!:argue:
Maji ni powerful zaidi, sababu yana uwezo wa kudhibiti moto at any cost lakini naona moto hauwezi dhibiti maji! kwa mtazamo wangu lakini! We can all live without moto lakini huwezi ishi bila maji! mmmhhh!