Natumia voda network ya kupiga simu wala kutuma msg hamna ila internet inawezekana kwani ni network mbili tofauti??
Natumia voda network ya kupiga simu wala kutuma msg hamna ila internet inawezekana kwani ni network mbili tofauti??
Siwezi kukujibu moja kwa moja kama ni tofauti au namna gani kwani inategemea na wewe unatumia vifaa gania kama ni simu ni ya aina gani ,kama uko ofisini network yenu ina vifaa gania.Ila kwa issue yako hapo juu siw ote wanaweza kukuelewa, simu iko under voice traffic, na internet iko under data traffic.Sasa kunaweza kuwa na tatizo upande wa voice traffic ila data ikawa powa inthat case hautapiga simu ila internet utapata.Mtu anaweza kukwambia ziko sawa akizani kwa kuwa zote zinapatikana kwenye mnara mmoja basi they are the same,kuna vifaa,na kuna software zinasupport hizo huduma.So inawezekana kabisa ukawa na internet na simu usipige au simu ukapiga internet isiwepo.
Ila kama ungekuwa ofisini mnatumia simu za VoIP(voice over internet),in this case network ikikata na hizo simu hazifanyi kazi kwani sauti inasafirishwa kama packets kwa kutumia network yenu.
You are welcome.thanks mkuu i think that answer is the correct one. I appriciate!
SHUKURAN SANA MKUUSiwezi kukujibu moja kwa moja kama ni tofauti au namna gani kwani inategemea na wewe unatumia vifaa gania kama ni simu ni ya aina gani ,kama uko ofisini network yenu ina vifaa gania.Ila kwa issue yako hapo juu siw ote wanaweza kukuelewa, simu iko under voice traffic, na internet iko under data traffic.Sasa kunaweza kuwa na tatizo upande wa voice traffic ila data ikawa powa inthat case hautapiga simu ila internet utapata.Mtu anaweza kukwambia ziko sawa akizani kwa kuwa zote zinapatikana kwenye mnara mmoja basi they are the same,kuna vifaa,na kuna software zinasupport hizo huduma.So inawezekana kabisa ukawa na internet na simu usipige au simu ukapiga internet isiwepo.
Ila kama ungekuwa ofisini mnatumia simu za VoIP(voice over internet),in this case network ikikata na hizo simu hazifanyi kazi kwani sauti inasafirishwa kama packets kwa kutumia network yenu.