Network search

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Wana great thinkers..naomba mnieleweshe. Mahali ninapoishi ni karibu kabisa...kama hatua 400 hivi kutoka kwenye mnara wa mawasiliani mtandao wa kampuni fulani. Nilitegemea kwa uelewa wangu kuwa hapa nitapata mawasiliano mazuri kwani niko karibu...Cha ajabu ni kuwa nikiweka line ya huo mtandao ambao mnara wake niko nao jirani inaandika network search...lakini nikiweka line ingine mambo shwari. mwanzo nilidhani ni simu mbovu au nn. lakini nikaona hata wenzangu wanalalamika. itakuwa ni nini
 
haya ndiyo matatizo ya mitandao yetu.sisi tulikuwa na tatizo kama hili.tupo karibu na mnara lakini mtanda haushiki.baada ya kulalamika kwa muda mrefu walikuja mafundi wakaset upya sasa mambo shwari.cha msingi wasiliana na wahusika wa huo mnara waset vizuri na tatizo lenu litaisha
 

Minara ya simu ninavyofahamu mimi hupokea na kusafirisha mawimbi ya aina tofauti tofauti,mfano, mawimbi ya sauti na text tu.Minara mingi hupokea na kusafirisha aina hii. Aina nyingine ni data.Mawimbi haya hayajawezeshwa kwenye minara mingi.Na ni mawimbi haya yatumikayo kwa intaneti.

Aidha,mawimbi ya data nayo yametofautiana kuna ya 2g,3g na 4g.Hivyo kuwa karibu na mnara haumanishi kupata intaneti ya kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…