Network inakata juu ya Neymer

Hapana sihitaji copy namuhtaj de rill neymer jr cjui nitafanya nini mie lkn soon nitaenda brazooo

kwa akili yako utampata wapi bora upate copy yake kutoka kwangu
 
kwa kiingereza hiki
neymar utaendelea kumuona kwny picha zinazobandikwa saluni za kiume!
Umeacha kufundisha twisheni?
kula kichwa hicho japo inakubidi uandae fimbo za kutosha kama unaenda kuchunga punda
 
Mtoa mada yawezekana DNA yake inafanana na Le Mut.........z

Kiingereza si lazima
 
Hapana sihitaji copy namuhtaj de rill neymer jr cjui nitafanya nini mie lkn soon nitaenda brazooo

Mmh.ndugu kwenda brazil haimaansh utapata muda wa kuongea na neymer..itakuwa kula tu story kwenu na wananchi wenzio wa kawaida.unamchukulia poa eeehπŸ™„πŸ™„
 
Mmh.ndugu kwenda brazil haimaansh utapata muda wa kuongea na neymer..itakuwa kula tu story kwenu na wananchi wenzio wa kawaida.unamchukulia poa eeehπŸ™„πŸ™„

Brazil sio mlimani city ohoooo
 
Hivi wewe ni mBrazili eti?na dad he yako je?watoto wa kike siku hizi wanakaa kujadili mapenzi na "dad" zao wanashindwa kukaa na mama,dada,shangazi au bibi!!haya mwambie "dad he" akukatie tikti kabla hawajamaliza mechi basi,
Ili iweje! Watz mko ramshackle sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…