Wakuu,ninaomba kujulishwa na watu waliokaribu na crdb bank kama mtandao umerudi,leo trh 28.8.2018 jumatatu nimetembea matawi ya mlimani city,ardhi,udsm,mabibo hostel kote hakuna mtandao hadi asbh hii saa nne na nusu,
Kama kuna mtu yuko around hayo matawi naomba aniambie kama umerudi au bado