kama tunategemea wataalamu watanzania ndio waseme net hazifai twafwaa!! kumbukeni watu waliokufa kule Nyamongo kutokana na sumu ya mgodi wa North Mara, bila waziri Kagasheki kugangamala baada ya kuwasikiliza wananchi wataalamu walishamsomesha kwamba hakuna aliyedhurika!!! Watanzania bwana....