Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona


Stop udini wewe.

Eti sisi tunasema ukweli na nyinyi uwongo...really??

Disgusting!!!
 
Israel anaomba UN waingilie kusimamisha vita kati yake na Hezbollah, Natanyahau kazidiwa jamani.

uchumi wa israel hautahimili vita ingine ndani ya mda mfupi baada ya ile ya gaza.
na pia wanajua hezb sio hamas na vita vingeweza kuchukua mda mrefu,wakati wao wako katika kampeni za uchaguzi mkuu.
hata respond ya hezb jana baada ya israel kuanza kupiga mizinga yao na kuwakosa hezb na kuishia kuua askari wa UN,hezb nao walijibu kwa mizinga na wakafanikiwa kulipua nyumba moja ndani ya israel.
pengine israel kaamua awe mpole
 

Ona sasa hivi karibia wakazi Laki8 wanakimbilia kwenye Mahandaki kama Panya hah hah hah...
 
Subiri wakubwa wapange namna gani wataadhibu hawa magaidi Israel haina papara itajibu kwa wakati muafaka na tutakuja hapahapa kuwajulisha maana haitakuwa siri nanyi mtakujua kuwa Israel ina mkono mrefu kiasi cha kuwafikia magaidi popote walipo dunuani.
Wakristo huwa mnafurahi sana Israel akiwauwa warabu, sa leo naona mapovu yanawatoka.
 
Israel inaficha ukweli wa mambo waisrael 18 wameuawa mpaka sasa tatizo mwixrael anaona haya kusema
 
dogo Israel katuma ujumbe kuwa hataki vita na Hezbollah. Israel anajua wazi Hezbollah ni moto mkali sana kwake.

Quran inasema adui wa waislam ni Myahudi na Mkristo, nahisi wewe ni Muislam, na kama wewe ni mwislam basi unafuata maandiko yenye chuki
 
Umma wa Kiislam ukiongozwa na Waarabu, Mungu amewanyima akili za ugunduzi, waarabu mpaka leo pamoja kwamba wamekuwepo tangu enzi za Ibrahim, lakini hata technolijia ya kutengeneza sindano hawana, wakati kaka yao Muisrael kagundua vitu kibao. Ndio maana utaona hapa Umma wa Kiislam wako inferior kiasi kwamba hata wakifanikiwa kuua muisrael mmoja dunia nzima itajua, hata hapa JF, jana nimeona eti watu wanaandamana Beirut kujipongeza kwa kuuawa kwa Waisrael 2. Poleni sana, endeleeni kumuomba Allah wenu ambae anasema hakuna Mungu isipokuwa yeye
 
Mwanajeshi mstafu we sikiliza nyimbo tu , Israel na baba yake USA na NATO wanamuogopa Hezbollah kishenzi, hawataweza kuanzisha game pale, wanajua hawawezi kungia vita na Hezbollah. USA aliona kijeshi hamuwezi Hezbollah akatengeneza ISIS, yeye na Israel ili afanye ugomvi wa vita ya madhehebu ya kisilam pale Syria afu wawabane Hezbollah, kwa kupewa msada pia na nchi za kiarabu Saud Arabia, UAE, Jordan, Kuwait na Qatar na wameshindwa vita sasa. USA alitafuta kila njia Hezbollah wasishiriki katika serekali ya Lebanon alishindwa pia. Sa we unadhnai watafanya nini tena?
 
Last edited by a moderator:
Naona unaongea drama kuifurahisha nafsi yako Netanyahau na raia wake wanakimbilia kwenye mapango kama nguchiro.
 
Black Jews...

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 

Israel wakitangaza 2 ujuwe wameuliwa 20.
 
Timbwilitimbwili likianza hao waarab hujificha hadi kwenye madarasa ya watoto wa shule wakiamin ndo ngao yao lakin kwa muisrael yeye haangalii bali hutifua tu na hapo ndo utasikia sauti za haohao waarab wakililia jumuiya ya kimataifa kuingilia kati eti watoto na akina mama wanauwawa!
 
Quran inasema adui wa waislam ni Myahudi na Mkristo, nahisi wewe ni Muislam, na kama wewe ni mwislam basi unafuata maandiko yenye chuki
Sa we unadhani adui ya muislam ni nani kama sio wakristo na wayahudi. Tazama vita anazo piagana USA na Israel zote wanapigana na waislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…