Netanyahu threatens unilateral strike against Iran ‘in months’

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Netanyahu threatens unilateral strike against Iran ‘in months'

Get short URL
email story to a friend print version
Published: [COLOR=#999999 !important]10 March, 2012, 01:46

[/COLOR]

benjamin-prime-israeli-minister.n.jpg

[COLOR=#999999 !important]Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu (Reuters / Joshua Roberts)

[/COLOR]
TRENDS:Israel vs IranIran tension
TAGS: Conflict, Nuclear, Iran, Netanyahu, Israel
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has raised the specter of war by saying unilateral strikes on Iranian nuclear sites are possible within months.
Speaking with local media for the first time since returning from Washington earlier this week, Netanyahu said "I hope there won't be a war at all, and that the pressure on Iran will succeed," Haaretz daily reports.
However, he said the eleventh hour was soon approaching for Iran to "halt its nuclear program or suffer the consequences."

"We're not standing with a stopwatch in hand," he said. "It's not a matter of days or weeks, but also not of years. The result must be the removal of the threat of nuclear weapons in Iran's hands."
Netanyahu's tough talk seems to fly in the face of US President Barack Obama, who told a pro-Israeli lobbying group last Sunday a more measured approach was needed.
"Already, there is too much loose talk of war. Over the last few weeks, such talk has only benefited the Iranian government by driving up the price of oil, which they depend on to fund their nuclear program. For the sake of Israel's security, America's security, and the peace and security of the world, now is not the time for bluster," he told the AIPAC Policy Conference.
On Thursday, the defense secretary, Leon Panetta, also said diplomacy had not run its course. While he did not think Israel had made a final decision on a unilateral strike against Iranian nuclear sites, he said their impact would be limited.
"If they decide to do it, there's no question that it would have an impact, but I think it's also clear that if the United States did it we would have a hell of a bigger impact," Panetta said.
With the announcement of big power nuclear talks with Iran on Thursday, it remains to be seen what effect Netanyahu's intensified rhetoric will have on the possibility of a diplomatic breakthrough.

Nina uhakika hawawezi ingia kichwa kichwa, lets wait and see, peke yao?Sidhani.
 
Nina uhakika hawawezi ingia kichwa kichwa, lets wait and see, peke yao?Sidhani.

i was just thinking if John Mccain were president right now. tungekuwa tunaongea mambo mengine. ..Israeli hawawezi kenda wenyewe bila support ya USA and we dont know what is going on underground
 
i was just thinking if John Mccain were president right now. tungekuwa tunaongea mambo mengine. ..Israeli hawawezi kenda wenyewe bila support ya USA and we dont know what is going on underground
Yeah Mc Cain angekuwa president na yeye si lazima angetafuta baraka za congress na the house of reps?

Hilo la Israel kwenda, US lazima watapata taarifa hata kama haitawekwa wazi, hiyo itakuwa ni mbinu tu, ila akiingia Israel, kama kawaida US atatoa sapoti, kuna uwezekano mkubwa sana Russia akaplay part na yeye wazi wazi.

All in all mtanange si kidogo.
 
no doupt..Russia under Putin lazima waisapoti Iran..kwanza baada ya Qaddfi kufa Putin alilaani sana kile kitendo na akauliza nani aliwapa NATO mamlaka ya kumuua Qaddafi?
 
Kwa kweli nasubiri kwa hamu siku ya Iran(shetani) kupigwa!! Lakini nashangaa hili jamaa the so called Obama linajifanya linataka diplomacy
 
Nina uhakika hawawezi ingia kichwa kichwa, lets wait and see, peke yao?Sidhani.
Israel hawezi kusogea pale peke yake, na akisogea basi ujuwe kaumia....unless awe kisha pata green light kutoka marekani watamsaidia.
 
no doupt..Russia under Putin lazima waisapoti Iran..kwanza baada ya Qaddfi kufa Putin alilaani sana kile kitendo na akauliza nani aliwapa NATO mamlaka ya kumuua Qaddafi?

tatizo russia huwa wanapiga ngonjera tu bila kushiriki actively kutoa support kwa marafiki zao wanapowekwa kwenye kitimoto
 
tatizo russia huwa wanapiga ngonjera tu bila kushiriki actively kutoa support kwa marafiki zao wanapowekwa kwenye kitimoto
Kuna uwezekano mkubwa sana Warusi wakawa active this time, ndo maana inabidi west na Israel wamove cautiously.

Russia wamegundua kuwa west wako active ku regain power and control over the "colonies" or over their "National interests"

Na kurudi kwa Putin ambaye bado ana beef stemminf from the cold war era, na yeye anadhani kuwa bado urusi wana share yao kwenye world politics and power, hawatakubali kupoteza kila kitu na wameashiria hivyo.

Mfano Syria ndo sehemu pekee urusi waliyobakiwa nayo ambayo wana bases nk. Pia influence over Iran.

Its a bit complicated, cha muhimu tusubiri their next moves.
 
Kwa kweli nasubiri kwa hamu siku ya Iran(shetani) kupigwa!! Lakini nashangaa hili jamaa the so called Obama linajifanya linataka diplomacy
kuipiga Iran sio sawa na kuzuia maandamano ya wanaharakati wa Tanzania.its gonna be a big war and destructive.kumbuka Obama anakaribia uchaguzi hataki kabisa kuipeleka nchi vitani,,na vile vile anazitaka kura za waisraeli-wamarekani so let see what he will do
 
hizo comments alizotoa benyamin netanyahu ni strategic, anaongea namna hiyo wakati wamesha-position spy satellites zao kwny grids za iran..,

wanaangalia how they mobilize.., wapi wanapeleka nguvu kubwa ya defence,, u dont hav to be a military expert from sandhurst to knw wht netanyahu is looking for..,

anatafuta response ya iran army in terms of mobilization kwa sbb hizi pre-emptive strikes secrecy and speed is the best weapon,

Muiran lazma ata-expose vital targets pale atakapo respond netanyahu's comments na jamaa wataziona kwa spy satellites zao...,

Its war tactics!
 
Very true!

Mzalendo452 said:
tayari Isreal wamechabanga watu kwa mizinga gaza, walitafuta ruhusa kwa nani?? waache tu hawa.
Mkuu, Gaza na Iran wapi na wapi?Tofauti ipo kubwa sana kati ya "kuichabanga" Gaza vs Iran.
 
hizo comments alizotoa benyamin netanyahu ni strategic, anaongea namna hiyo wakati wamesha-position spy satellites zao kwny grids za iran..,

wanaangalia how they mobilize.., wapi wanapeleka nguvu kubwa ya defence,, u dont hav to be a military expert from sandhurst to knw wht netanyahu is looking for..,

anatafuta response ya iran army in terms of mobilization kwa sbb hizi pre-emptive strikes secrecy and speed is the best weapon,

Muiran lazma ata-expose vital targets pale atakapo respond netanyahu's comments na jamaa wataziona kwa spy satellites zao...,

Its war tactics!
Inawezekana. But ata the end of the day Iran itapigwa tu. Israel wakisema wanamaanisha
 
obvious+ kuna key palyers wengi watakuwa wamepewa taarifa na hata kusaidia.Saudi Arabia.Kuongeza mafuta uchumi wa dunia usiyumbe, kuweka ulinzi sawa.Qatar kuongeza mafuta, kutoa base na logistic nyingine, Russian,China Japanese kuondoa expaerts wao.UK,France na wengine kusaidia Intelligence an back up ikibidi.Pia Misri na waarabu wengine ,wataarifia ili wasaidia Hizbolah na akina Hamas wasilianzishe in case patakuwa nakind of full war.Km mambo hayataenda kirahisi km ya Syria.
 
Urusi is a lost sheep. Libya Russia na China waliloose diplomatically, na Syria wanaloose tena, kwani Asaad lazima ng`ooke na watu wanajua Russian na China ndio walizuia Nato+Qatar+Saudi +etc kuwasaidia.Mbaya zaidi jamaa wameiongezea serikali silaha. It funny urusia na China watatulizwa kwa kupewa dili la kuwauzia Iran na syria silaha kali kali wakiwazuga kuwa wanawasaidia jiandaa kwa vita kuwapiga ma shetwani wa Magharibi+ Israel. Halfu jamaa wakapata kichwa the Bunk busters zikashuka km mvua.Huku Urusi na Uchina wakipiga domo na mikwara kibao.Hayo makelele wanasubiri wataalamu wa hizo nchi waondoke.Utaashangaa hata Ufaransa wapo Iran, Urusi, sweden, Norway etc na ni ktk vinu vya Nuke.wakishachukua hela za kutosha na mikataba ya wese utasikia tuu ndege za Israel zimeonekana zikielekea kaskazini Mashariki, na Iran watasemea wavamizi mashetani wamejaribu ingia ktk anga yao wakakurupusha, na ndege ya kizushi kuwa imeangushwa.halafu Israel wanaweza wasijibu maswali ya kijinga zaidi ya kusema ilikuwa siku nzuri kwa israel.
Believe me Western civilization wanongea lugha wanazozijua wao pekee yao, civilizations nyingine zinatambua misamiati na si context ya sentence.Thats why Hispania iliwahi kuwa Muslim country kwa around 500yrs.Yet siku moja wakageuka na kuwa Wakatolic wote, je jiulize walijipangaji kati ya waarabu, kati ya waislam swafi ndio utajua kuwa waliweza ongea lugha hiyohiyo kati ya watu hao hao,bila hao watu kuelewa kwa usahihi.Waarabu kupitia muslim civilizations wanaumia sana na hawachoki kwa hilo.
Warusi watakuwa active ila si kama watu wanavyofikiri, Putin ana machungu ila kila siku zikienda anazidi loose.warusi hawautaki tena ujamaa,Obama kabadili jinsi ya kuweka missile shield,ila kaweka, kila kukicha former soviet nations zinajituma kuingia EU, zinataka Missile shield.Russia wanakimbilia ktk TV style ya TBC...RT ni kioja.
Mtashangaa kwanini baada ya Yao Ming kuanza achana na NBA, Jerem Lin amekuwa zawadi kwa US kuibomoa China kiutamaduni.Lin ni Taiwanese/Devout Christian/Havard Graduate.One night superstar.He is already a problem with our cultural, ideological,racial commone senses.
Utashangaa kwa nini Rais wa Iran na aliyepo ni zawadi kwa US na West.Yeye anatoa maneno sahihi kutumika km ushahidi wa nia ya Iran kwa Israel+Saudi Arabia ingawa haisemwi.Saudi Arabia,bahrain,Qatar and other Arab states ndio wata Loose zaidi km Iran itakuwa Super Power+Nuke state.
Kuna uwezekano mkubwa sana Warusi wakawa active this time, ndo maana inabidi west na Israel wamove cautiously.

Russia wamegundua kuwa west wako active ku regain power and control over the "colonies" or over their "National interests"

Na kurudi kwa Putin ambaye bado ana beef stemminf from the cold war era, na yeye anadhani kuwa bado urusi wana share yao kwenye world politics and power, hawatakubali kupoteza kila kitu na wameashiria hivyo.

Mfano Syria ndo sehemu pekee urusi waliyobakiwa nayo ambayo wana bases nk. Pia influence over Iran.

Its a bit complicated, cha muhimu tusubiri their next moves.
 
Iran hana ubavu wowote kwa Israel, acheni propaganda za kitoto. Israel ina mkono mrefu kuliko hata USA. Mtakubali tu mda si mrefu. Kwani waarabu wameanza leo kupigana na dola la kiyahudi? Pia msidanganyike na Russia, wazungu wanapingana kwa nje lakini ndani wanamikakati ya pamoja. Mara ngapi Russia anajifanya kupinga USA mwisho anakaa kimya USA na Israel wanapotoa kichapo? Iran ni wa kuhurumia kwa sababu wanatafuta kuijenga upya nchi yao maana hawatapona kichapo.
 
muisraeli akijiridhisha na intel kuhusu targets huko iran..., am sure atapiga pre-emptive, netanyahu does not fancy diplomatic solutions as a way to achieve peace...,

Na nakubali kabisa, israel ataibuka victor.kumbuka yam kippur war, they won agaisnt all odds.
 
the mighty israel's intel society is so well organized and widely established to the extent they had assets even in the CIA, ila waliimaliza kiutu uzima kati ya hawa ndugu wawili,

Kabla ya vita, hawa watu hua wanajiridhisha sana kwanza kama watashinda au la.., na ndo maana hawajawahi kupigwa.., hapa naongelea vita siongelei ops,

Vevak na oghab2 nazo zipo infiltrated na super israel spies.., kuna kitengo chao kimoja ndani ya serat macau(seyrat macau) hua wanamlea spy tangu akiwa toddler(wale watoto wanaokosa malezi ya wazazi kwa sbb mbalimbali, serikali yao ina wa-adopt)sasa mtoto spyin skills na pia anafundishwa culture na language ya future area of his operation..., huyu spy anakuja ku-master vzr sana traditions na language za maeneo na hata akipelekwa hawezi kugundulika kabisa....,

angalia assasinations wanazozifanya kiddon ndani ya tehran and NO ONE has ever been captured.., unakumbuka dubai? Those assassins came from so different countries.., with fake passports,

Lets face it, wakiamua kuipiga iran hawashindwi, intel ndio everythn.., and they are the number one,,,,

Kuna kipindi flani rafi eitan(chief wa zamani wa intel israel) aligundua kuna shambulio litafanywa dhidi yao baada ya foreign assets wao kutuma feeds tel aviv kuwa balozi za russia and other arab countries zilikua zinarudisha diplomats wao kwao..., yani kwa rafi eitan ilikua tosha kuwataarifu IDF na kweli after two days waarabu wali-launch offensive, ila wakakuta jamaa wapo tayari..,
 
Back
Top Bottom