Netanyahu: Jerusalem Hautagawanywa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Netanyahu: Jerusalem Hautagawanywa!

Discussion in 'International Forum' started by Buchanan, Dec 14, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa Mji Mtakatifu wa Jerusalem, ambao ni Mji wa Wayahudi, hautagawanywa ili Wapalestina waufanye kuwa mji wao Mkuu kwa upande wa mashariki ambao ni mji mkongwe!
  Source: BBC/Al Jazeera.
  My take: Wapalestina waufanye Ramallah au Gaza kuwa mji wao mkuu, yaishe. Then kulingana na Oslo Accords, kama nakumbuka vizuri, Jerusalemu uwe mji wa kimataifa au uwe chini ya Waisraeli! Otherwise, amani itakuwa ndoto!
   
 2. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ...na ni ndoto kweli
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwa sababu ya ung'ang'anizi wa Wapalestina, sio?
   
 4. M

  Mkabera JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ewe Buchana,
  Wako watu wanaoamini kimadhehebu lazima to assuport Israel sijui ndio aignie peponi!
  Issue ya Jerusalam imepitiswa United Nations Security Council, General assemble and msimamo ni wazi - Wayahudi watoke katika nchi zote wanazozilakia kimabavu tangu 1967.
  Ingawa hawaheshimu sheria au mwito wowetu (mtoto pekee) anayemuhumu Baba afanye nini, lakini kila kitu kinamwisho na isivyokuwa pepo zinatungwa?

  Cha ajabu kwanza walewale watoto waitwao watoto wa Mungu hawatambui Yesu (kumuona mwana Haram) na si wakiristo. Cha ajabu baadhi ya wapelestina ambao ni wakiristo hao si watoto wa Mungu?
  Akisema hivi au vile haina maana ni mwisho wa dunia. History haiangidwi kwa miaka 50 au 60 ni kipindi kifupi sana. Siku itafika ambayo Al Quds na misikiti mtakatifu wa 3 utasaliwa na waislam na makanisa yaliyopo haop yatasaliwa na wakirsto. Uupuzi wa Jamii reporting unaelekea kitoto siku baada ya siku
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  The Palestine, "neither the Gaza Strip nor the West Bank", is not yet an independent country. The two parts of "Palestine" are entities that, in the eyes of the international community, have yet to develop or, more importantly, have international recognition to be considered a full independent country.

  Palestine" itself does not have external recognition nor does it have its own embassies in other independent countries. It is not possible for Palestine to be an independent member of the United Nations at this time, and it is a day dream for Palestinians to think of Jerusalem as their State Capital.

  Palestine does not have its own military. The Palestinian Authority does have social engineering power in fields such as education and health care, inter-alia, Hamas in Gaza also provides social services.

  The economies of both the Gaza Strip and the West Bank are disrupted by conflict, especially in Hamas-controlled Gaza where any fledgling industry or economic activity is not possible. Both entities utilize the new Israeli shekel as their currency.

  Please be informed accordingly.

  Max, A bondservant of Jesus Christ
   
 6. D

  Derimto JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni maana ukweli uko palepale na mipaka ya nchi ya Israel uliwekwa na Mungu mwenyewe na kulingana na Biblia kama mipaka hiyo ikifuatwa sawasawa utaona kuwa baadhi ya nchi kama Jordan, Syria na baadhi ya maeneo ya Iraq yanatakiwa kuwa Israel sasa hapo tuseme ukweli nani mvamizi wa eneo la mwenzake? Na zaidi sana inajulikana watoto wa Ibrahimu walipewa maeneo yao na kizazi cha Yakobo kikapoteza na kwenda Misri lakini walikuja kurudia baadaye kwa kupigana vita na kukomboa baadhi ya maeneo ambayo leo waarabu wanadai ni yao! Ila kama huamini ni hivi kulingana na maandiko matakatifu ni kuwa hata msikiti wa Dome of Rock utakuja kuvunjwa kama tukiwa hai tutashudia machafuko sana ambayo yanaweza kuepukwa kwa kuangalia historia ya miji yenyewe
   
 7. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  As you have just shown
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mimi nilikuwa nazungumzia njia ya kufikia amani ya Mashariki ya Kati, kama kuna uwezekano huo anyway! Hata hivyo soma habari hii HAPA ambapo Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniya, amedai kwamba "no recognition of Israel and no concessions over any part of the land of Palestine," alipokuwa anahutubia umati mkubwa wa watu huko Gaza. Hao ndio wapinga amani ambao huwa wanahakikisha kila yanapotaka kufanyika makubaliano wanaanza kujilipua mabomu! Hayo mambo ya General Assembly kupitisha Azimio unayafahamu wewe, kwa Hamas ndani ya vichwa vyao wanaona kwamba taifa lote la Israel linatakiwa lisiwepo. Hawajali mambo ya mwaka 1967 wala UN Resolutions!
  Na kwa habari ya Israeli, Mungu mwenyewe alitamka katika Isaya 49:15 - 16 kwamba hataweza kuisahau Israeli na ameichora katika vitanga vya mikono yake! Pia imeandikwa kwamba Waisraeli WOTE wataokolewa, kama ilivyoandikwa mwokozi atakuja kutoka Sayuni! (Rum. 11:26).
  Kwa upande wa Msikiti wa Al Aqsa na makanisa yaliyopo maeneo ya Bethlehemu, hakuna mtu aliyekatazwa kwenda kuabudu huko kwa wakati huu! Ni ubaguzi wa Waarabu tu ambao wanapenda kuwa waishi peke yao katika dunia hii!
   
 9. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kula tano kwa hii verse tu:Isaya 49:15 - 16
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Thanks!
   
 11. M

  Mkabera JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Wangelikuwa na ndege F15 wangezitumia kujilinda kama wanavyofanya Israel kuuwa watoto, wazee na yeyote asiye na hatia! Usipotaka wasijipue kama walivyofanya Wamerakani na Wahayudi kabla yao wape ndege na vifaru uone.
  Hicho kitabu kinachobalishwa kimaandiko kila kikao na sijui ni biblia yako ni according to whom "New Version" according to ? weka kongomano na leta vitabu vyako kutakumbushana.
  Hizo habari na media amabazo 95% ni za mayahudi endelea kuzisikiliza ila tu iko siku dunia nzima inaweza ikalipa thamani kwa kutosuluhisha mgogoro unaojurikana vizuri! ndiyo dua yako itapokelewa labda?
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Dec 15, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hicho Kitabu ambacho unakiita New Version mnakikumbatia kila siku misikitini na kudai kwamba eti Muhammad alitabiriwa kwenye Kitabu hicho! Acheni unafiki usio na maana! Na hizo unazodai 95% ya media kumilikiwa na Wayahudi sidhani kama Waarabu wamekatazwa kumiliki media yoyote! Huwa naangalia Press TV ya Iran mara kwa mara, iko HIGHLY BIASED!
  Na hayo mabomu huwa yanashushwa BAADA ya uchokozi ambao huwa unafanywa na Hamas and the like! Remember hata vita ya mwaka 1967, waanzilishi wa vita ni nchi tano za kiarabu: Egypt, Jordan, Syria, Lebanon na Iraq wakiichangia Israel "and wipe it off the Mediteranean Sea." Kwa hiyo Waarabu wajilaumu wenyewe kwa upungufu huo wa ufahamu!
   
 13. H

  Hute JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  Jerusalem ni mji mtakatifu wa Mungu mwenyewe, na uko chini ya waisrael, hautakuja ukae mikononi mwa waarabu/wapalestina/wafilisti hata siku moja. hata Umoja wa mataifa hauna haki yoyote kuugawanya mji mtakatifu. na haitakiwi uwe mji mkuu wa dunia..Yesu Kristo atakapokuja kutawala miaka 1000 atafanya makao makuu yake kuwa Jerusalem palepale...

  wapalestina hawana haki yoyote na ardhi ya israel ambayo walipewa na Mungu. haijalishi kama ni wakristo au waislam. hata sisi watanzania tungekuwa kule, ningesema hivihivi kuwa hatuna haki yoyote na ardhi ile, ile ardhi ni unique kuliko ardhi zote duniani, ni ardhi iliyopimwa mipaka na mungu ikapewa watu..nyie hizi za kwetu tumepimiwa mipaka na wakoloni. ile ilipimwa na Mungu. so, WAPALESTINA WAKRISTO, WALESTINA WAISLAM, WAPALESTINA WAABUDU SANAMU, wote hawana haki kuumiliki mju wa Jerusalem.

  doesn't matter whether wayahudi wanamtambua Yesu au la, Christians are commanded by God to support the Jewish people, na atakayewalaani atalaaniwa na Mungu hakika. ukisoma kitabu cha waebrania, utakuta kuwa wayahudi pamoja na kwamba hawamwamini Yesu ( na si wayahudi wote, kuna mamilioni ya wayahudi wanaomwamini Yesu), watakuja kumwamini tu siku zijazo. its through Jews kwamba Mungu aliwatumia wao kumshusha Mwokozi wa ulimwengu; hivyo ni watu muhimu kwetu sisi wakristo. hiyo iliahidiwa hata kabla ishmael babu yenu hajazaliwa.....
   
 14. October

  October JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Waarabu na ideology yao ndio kiini cha machafuko Mashariki ya Kati na dunia nzima.
  Angalia Somalia, Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen, Egypt (Muslim Brotherhood), na sasa wanataka kuiingiza Uganda na nhi zot eza Afrika Mashariki.
  These people are crazy!!!! Kwao hakuna mwema hata kidogo, kila mtu ni muovu tu mbele ya macho yao, na wakati wao wenyewe ndio waovu na wauaji wakuu.
   
 15. October

  October JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Here is the what God will do to nations that will participate in dividing the land of Israel.

  Joel 3.1-2:
  1: In those days and at that time, when I restore the fortunes of Judah and Jerusalem,
  2: I will gather all nations and bring them down to the Valley of Jehoshaphat. There I will enter into judgment against them concerning my inheritance, my people Israel, for they scattered my people among the nations and divided up my land


  Mataifa yote yalioshiriki katika kuwatesa Israeli watahukumiwa na Mungu.
   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  wewe binafsi unawenza kumkabidhi shamba lako mpita njia? mmetawaliwa na propaganda na ushabiki badala ya haki na ukweli!
   
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Na Waisraeli inao watesa na kuwadhulumu wao watahukumiwa na nani? Muheshimiwa ukilala ukiamka ni Wayahudi tuu Vp bwana, wao ni untouchable?
   
 18. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Kooote unazunguka zunguka tuu! lakini nia yako ni kuonyesha chuki yako juu ya Uislaam ! Mwenyezi mungu atatuhukumia siku hiyo baina yetu na yako!
  Quran, Baqara 73-75.
  " Na wanaposomewa Aya zetu zilizo wazi, husema wale waliokufuru kuwaambia wale walioamini: Lipi katika makundi mawili (sisi na nyinyi) lina makao mema? na lenye watu walio watukufu?"
  " Na Karne ngapi tumeziangamiza kabla yao ? (nyie wa sasa). (Karne) zilizokua na mapambo mazuri na mandhari nzuri zaidi?"
  " Sema: Ni wa walio katika upotofu, basi Mungu Mwingi wa rehema atawazidishia muda mpaka wayaone walioonywa, ama ni adhabu au ni saa ile (siku ya Kiama). Hapo ndipo watajua ni nani mwenye makao mabaya na mwenye askari dhaifu!."
  ipo finali mzee usiwe na wasiwasi!
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mpita njia unamaanisha Mpalestina? Huwezi kumkabidhi kwa kweli!
   
 20. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Bwana mkubwa wako marehemu Muhammad alidai kwamba hajui ataenda kufanywa nini huko Jehanamu kwa maovu yake wala hajui ninyi mtaenda kufanywa nini katika Quran 46:9 "Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi..."
   
Loading...