Netanyahu: Iran sasa ni dhaifu

Netanyahu: Iran sasa ni dhaifu

Iran ishakuwa dhaifu sana
kwan kati ya us na iran ninan alitaka ceasefire anaeona iran ni dhaifu akil yake itakua nashida hv hujiulizi iran yuco pekeake anapigana na majeshi mawili tena yale yanayojiita super power nabado wanaomb poo tena iran ilivyo hatar zaid inaponda nawapambe wa us na hawafany lolote bado trump kaialika nato nao wamefyata mikia kila m1 anaogopa afu mpumbavu m1 wakiyahudi kutoka skonge eti anakwambia nidhaifu
 
iran pamoja na wairan wa buza kwa mpalange, na wairan wa kwa mtogore, na wairan wa ubungo,na wairan wa igunga,ni dhaifu sana, whether you like it or not.
yan kupelekewa moto kdg hv umeanza nakuandika kingleza jiandae tu jombaa round hii moto ukiwashwa mbn nakichna utaandika xana tu
 
Wakati Iran ikidai Trump amekubali kuachia mabilioni ya fedha yaliyoko Qatar ili kufungua Hormuz, White House imejibu kwa neno moja: 'Uongo'

Ikulu ya Marekani imekanusha taarifa zinazoeleza kuwa Marekani ilikubali kufungua (kuachia) mali za Iran zilizokuwa zimezuiwa, baada ya chanzo kutoka Iran kudai kwamba fedha zilizohifadhiwa nchini Qatar na katika benki nyingine zingeachiliwa.

Kiasi kinachozungumziwa zaidi ambacho Marekani imekishikilia (hasa kile kilichopo Qatar) ni Dola za Kimarekani bilioni 6 sawa na Tsh trilioni 15.54 (15,546,654,000,000 TZS).

Fedha hizo zilitoka wapi?

Hizi ni fedha zinazotokana na mauzo ya mafuta ya Iran kwenda Korea Kusini. Zilikwama huko tangu mwaka 2018 baada ya Trump kuweka vikwazo mara ya kwanza. Baadaye zilihamishiwa nchini Qatar mwaka 2023 kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa, lakini zikazuiliwa tena baada ya mzozo wa Mashariki ya Kati kuongezeka. Pesa hizo ndio serikali ya Tehran inadai zimeachiliwa.

Idadi ya pesa za Iran zinazoshikiliwa na Marekani

Licha ya hizi bilioni 6 (Tsh trilioni 15.5), inakadiriwa kuwa Marekani imezuia jumla ya mali za Iran zenye thamani ya zaidi ya Dola bilioni 120 duniani kote. Hiyo ni zaidi ya Tsh trilioni 310, kiasi ambacho kinaweza kuibadilisha kabisa uchumi wa Iran ikiwa kitaachiwa.
Nilitaka kushangaa trilion 15 mbona ela ndogo tu, ila hizo trilion 300 ni kipengele, kinaweza kugeuza completely maisha ya Iran.
 
iran pamoja na wairan wa buza kwa mpalange, na wairan wa upanga ilala, na wairan wa d.i.t,na wairan wa kwa mtogore, na wairan wa ubungo, wairan wa hondoyo,na wairan wa mzumbe,na wairan wa igunga,ni dhaifu sana, whether you like it or not.
Unavyotaja hayo maeneo unanifurahisha sana.
 
Boss hamis77,
Kama Iran ni dhaifu wanajisumbua nini kukaa mezani na adui wanae mmudu?
Yani akili yako inashindwa hata kuwaza kitu simple like that Mkuu?
Kwanini hawakujadiliana mwanzoni ila ni baada ya kushindikana kwa matumizi ya nguvu ndio wameona watumie mazungumzo?

Kumbe upo mbali sana uelewa. Nikupe shule ndogo:
Kwenye vita, mwenye nguvu anakupiga ili baadaye mkae mezani ukubali matakwa yake ukiwa kwenye hali dhaifu, ukijua kuwa ukikataa unarudia kwenye hali ya hatari.

Hata mataifa yaliyokuwa makoloni, yalipambana kwa vita, lakini mwishoni walikaa na nchi watawala mezani ili kufikia maafikiano ya mwisho. Hata Putin anaipiga Ukraine, huku akiwa ameweka mapendekezo yake kama Ukraine inataka vita iishe. Hata Tanzania ilipoizidi uwezo Uganda, kilichofuatia ilikuwa ni kuwataka waganda waweke utawala mpya ambao si adui kwetu. Israel inaipiga Lebanon, lakini baada ya kuona imekwishaidhoofisha, imeitaka Lebanon waende kwenye mazungumzo, huku Lebanon ikiwa dhaifa, na hivyo Israel italazimisha matakwa yake ya kutaka Hezbollah wanyang'anywe silaha. Hata ukiwa na nguvu, hakuna vita ambayo utapigana na Taifa jingine, ukalishinda, halafu baada ya hapo mkawa katika utulivu bila ya mazungumzo ya mezani yatakayoondoa uhadama. Marekani inaipiga Iran ili idhoofike, halafu ilazimishe matakwa yake. Lakini kama Iran inaona bado ina uwezo wa kupigana, itaendelea, ili wakienda kwenye mazungumzo, isiende ikiwa dhaifu. Kitu ambacho Marekani na Israel hawatataka, hivyo kuna uwezekano wataendelea kuipiga mpaka ifike Iran ione kuendelea na vita ni kuangamia, na hivyo aheri kuridhia matakwa ya Marekani ili kujiokoa.

Kwenye haya mazungumzo ya sasa, Marekani iliamini kuwa tayari Iran ipo dhaifu kiasi cha kukubali chochote ili nchi iwe salama. Lakini Iran inaona bado inaweza kuendelra kupigana.
 
Ni kawaida mume na mke kukaa kujadili tofauti zao licha kwamba Mwanamke ni dhaifu siku zote

Unashangaa Marekani kukaa na nkewe Irani?

Acha basi maskhala chief
Okay good,
Mke anakomaa kuwa bila mashariti yake yatekelezwe la sivyo turudi ulingoni 😁😁😁
So acha turudi ili tukaone namna Iran alivyodhaifu.
Hayupo anaedharau ukubwa wa USA na Israel kijeshi lakini changamoto zenu nyie Wazayuni nikudhihaki ukubwa wa Iran kijeshi kwa kukubali kulishwa fix za kivita na Netanyahu,
Hivi ulitegemea Netanyahu atoke hadharani atamke Iran bado iko vizuri kijeshi? 😁
 
Kumbe upo mbali sana uelewa. Nikupe shule ndogo:
Kwenye vita, mwenye nguvu anakupiga ili baadaye mkae mezani ukubali matakwa yake ukiwa kwenye hali dhaifu, ukijua kuwa ukikataa unarudia kwenye hali ya hatari.

Hata mataifa yaliyokuwa makoloni, yalipambana kwa vita, lakini mwishoni walikaa na nchi watawala mezani ili kufikia maafikiano ya mwisho. Hata Putin anaipiga Ukraine, huku akiwa ameweka mapendekezo yake kama Ukraine inataka vita iishe. Hata Tanzania ilipoizidi uwezo Uganda, kilichofuatia ilikuwa ni kuwataka waganda waweke utawala mpya ambao si adui kwetu. Israel inaipiga Lebanon, lakini baada ya kuona imekwishaidhoofisha, imeitaka Lebanon waende kwenye mazungumzo, huku Lebanon ikiwa dhaifa, na hivyo Israel italazimisha matakwa yake ya kutaka Hezbollah wanyang'anywe silaha. Hata ukiwa na nguvu, hakuna vita ambayo utapigana na Taifa jingine, ukalishinda, halafu baada ya hapo mkawa katika utulivu bila ya mazungumzo ya mezani yatakayoondoa uhadama. Marekani inaipiga Iran ili idhoofike, halafu ilazimishe matakwa yake. Lakini kama Iran inaona bado ina uwezo wa kupigana, itaendelea, ili wakienda kwenye mazungumzo, isiende ikiwa dhaifu. Kitu ambacho Marekani na Israel hawatataka, hivyo kuna uwezekano wataendelea kuipiga mpaka ifike Iran ione kuendelea na vita ni kuangamia, na hivyo aheri kuridhia matakwa ya Marekani ili kujiokoa.

Kwenye haya mazungumzo ya sasa, Marekani iliamini kuwa tayari Iran ipo dhaifu kiasi cha kukubali chochote ili nchi iwe salama. Lakini Iran inaona bado inaweza kuendelra kupigana.
Lengo la vita lilikuwa kuenda Islamabad kutalii na kukaa mezani?
Mtumie akili zetu wakuu acheni kuwa watumwa wa Propaganda za USA 🙏
 
Ni suala la muda tu
Muda upi???
wkt ww unendelea kufanya manunuzi yenye kuichangia Iranian kwa lazima!!!

sio ombi kama misikiti na kwenye Makanisa!!!!

Kwasasa popote ulipo utachangia kapu la Wairani wajenge upya nchi yao na kulipa fidia familia zao..
 
Wakati Iran ikidai Trump amekubali kuachia mabilioni ya fedha yaliyoko Qatar ili kufungua Hormuz, White House imejibu kwa neno moja: 'Uongo'

Ikulu ya Marekani imekanusha taarifa zinazoeleza kuwa Marekani ilikubali kufungua (kuachia) mali za Iran zilizokuwa zimezuiwa, baada ya chanzo kutoka Iran kudai kwamba fedha zilizohifadhiwa nchini Qatar na katika benki nyingine zingeachiliwa.

Kiasi kinachozungumziwa zaidi ambacho Marekani imekishikilia (hasa kile kilichopo Qatar) ni Dola za Kimarekani bilioni 6 sawa na Tsh trilioni 15.54 (15,546,654,000,000 TZS).

Fedha hizo zilitoka wapi?

Hizi ni fedha zinazotokana na mauzo ya mafuta ya Iran kwenda Korea Kusini. Zilikwama huko tangu mwaka 2018 baada ya Trump kuweka vikwazo mara ya kwanza. Baadaye zilihamishiwa nchini Qatar mwaka 2023 kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa, lakini zikazuiliwa tena baada ya mzozo wa Mashariki ya Kati kuongezeka. Pesa hizo ndio serikali ya Tehran inadai zimeachiliwa.

Idadi ya pesa za Iran zinazoshikiliwa na Marekani

Licha ya hizi bilioni 6 (Tsh trilioni 15.5), inakadiriwa kuwa Marekani imezuia jumla ya mali za Iran zenye thamani ya zaidi ya Dola bilioni 120 duniani kote. Hiyo ni zaidi ya Tsh trilioni 310, kiasi ambacho kinaweza kuibadilisha kabisa uchumi wa Iran ikiwa kitaachiwa.
Pesa nyingi sana hizi wapewe pesa zao
 
Mwaka huu wakiristo wa jf propaganda zenu zote zitaisha
ziko wapi hizo propaganda ewe muislamu wa madongokuinama? Ushaambiwa iran iko ndebendebe, lepelepe haina tena ule uwezo wake wa kuitishia Israel
 
Huyu mzee atulie, nimepenyezewa hapa wakilianzisha tena bei ya mafuta inaweza kupanda mpaka dola elfu kumi🐼
 
1774853735479.jpg
 
Kumbe upo mbali sana uelewa. Nikupe shule ndogo:
Kwenye vita, mwenye nguvu anakupiga ili baadaye mkae mezani ukubali matakwa yake ukiwa kwenye hali dhaifu, ukijua kuwa ukikataa unarudia kwenye hali ya hatari.

Hata mataifa yaliyokuwa makoloni, yalipambana kwa vita, lakini mwishoni walikaa na nchi watawala mezani ili kufikia maafikiano ya mwisho. Hata Putin anaipiga Ukraine, huku akiwa ameweka mapendekezo yake kama Ukraine inataka vita iishe. Hata Tanzania ilipoizidi uwezo Uganda, kilichofuatia ilikuwa ni kuwataka waganda waweke utawala mpya ambao si adui kwetu. Israel inaipiga Lebanon, lakini baada ya kuona imekwishaidhoofisha, imeitaka Lebanon waende kwenye mazungumzo, huku Lebanon ikiwa dhaifa, na hivyo Israel italazimisha matakwa yake ya kutaka Hezbollah wanyang'anywe silaha. Hata ukiwa na nguvu, hakuna vita ambayo utapigana na Taifa jingine, ukalishinda, halafu baada ya hapo mkawa katika utulivu bila ya mazungumzo ya mezani yatakayoondoa uhadama. Marekani inaipiga Iran ili idhoofike, halafu ilazimishe matakwa yake. Lakini kama Iran inaona bado ina uwezo wa kupigana, itaendelea, ili wakienda kwenye mazungumzo, isiende ikiwa dhaifu. Kitu ambacho Marekani na Israel hawatataka, hivyo kuna uwezekano wataendelea kuipiga mpaka ifike Iran ione kuendelea na vita ni kuangamia, na hivyo aheri kuridhia matakwa ya Marekani ili kujiokoa.

Kwenye haya mazungumzo ya sasa, Marekani iliamini kuwa tayari Iran ipo dhaifu kiasi cha kukubali chochote ili nchi iwe salama. Lakini Iran inaona bado inaweza kuendelra kupigana.

Tangu mwanzo wa hili sekeseke.
Hili ulilosema ndio haswaa mm nilikuwa najua.

Maana kama vikwazo Iran amewekewa miaka ming nyuma, na hii ya kuivamia ni agenda ilikuwa mezan kwa maraisi weng wa US waliopita. Ila hawakuamua yatokee.

Trump na Netanyau wameamua litokee kipind hiki. Ila ni mipango ya miaka kadhaa nyuma.
 
Back
Top Bottom