Netanyahu: If I'm elected, there will be no Palestinian state

Netanyahu: If I'm elected, there will be no Palestinian state

Elungata

Kwa sasa hakika Israel hawezi enda kwa Iran maana Obama anaweza goma msaidia.
Republicans wakiingia ataweza fanya hivyo.

Ila kuishambulia Iran inabidi umshambulie haswa ili asiweze pumua afu upeleke ground troops vinginevyo tegemea retaliation ya hatari sana.

Hapo inabidi amrukie akiwa hajajiandaa aharibu airport, fighters, nucleur facilities na bombs facilities, aharibu ma bandari ili mrusi asipeleke misaada ya mabomu.

Pia its a gamble maana itaamsha vita kubwa sana pale Middle East.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wana wa Mungu tuwache wafanye yalio mema kwao.Watanzania tuige tusipotezwe na habari za Kizushi
 
Sangarara

Hao ndo wale wayahudi wenye msimamo mkali kabisa.hata hivyo hiyo zero haina maana kuwa hawajapata hata kura moja.maana yake ni kuwa ukipata chini ya viti 5,kwamaana ya vinne kushuka chini ,unahesabiwa umepata 0.kwamaana huwezi kuwa na wawakilishi bungeni.

na maana ya kiti maana yake sio kura moja bali wanachovyanya baada ya kupigwa kura,wao hujumlisha kura zote halali zilizopigwa kisha wanagawa kwa 120 ambayo ni idadi ya viti vya bunge lao,idadi inayoptikana wanaiita general indicator.

ili kujua mfano chama cha likud kimepata viti vingapi,wanachukua idadi ya kura za likudi,wanagawa kwa general indicator,jibu lake ndo idadi ya viti ilivyopata. wao hawachagui mtu bali huchagua chama na hivyo hakunaga kura za ndio ama hapana.
 
Last edited by a moderator:
Kushnda kwake n majanga kwa wayahud kumchagua kchaa km netanyahu
 
I am so inspired by the life of his late brother, Jonathan Yoni Neyantahu. Out of the desire to survive he became the really worrior. I gues, his stands are also based on the inspiration he got from that top commando, Lt. Col Yoni Netanyahu.
 
Elungata

Kwa sasa hakika Israel hawezi enda kwa Iran maana Obama anaweza goma msaidia.
Republicans wakiingia ataweza fanya hivyo.

Ila kuishambulia Iran inabidi umshambulie haswa ili asiweze pumua afu upeleke ground troops vinginevyo tegemea retaliation ya hatari sana.

Hapo inabidi amrukie akiwa hajajiandaa aharibu airport, fighters, nucleur facilities na bombs facilities, aharibu ma bandari ili mrusi asipeleke misaada ya mabomu.

Pia its a gamble maana itaamsha vita kubwa sana pale Middle East.

kumrukia gafla ni ki2 ambacho c rahx coz iran ana mifumO YA ANGAN YA KIXAXA AMEITEGA KWA XIR IRAQ SYRIA LEBANON
 
Last edited by a moderator:
Elungata

Democrasia imezingatiwa lakini?

process ya kidemocracy,lakini kwa wao.
mfano siku ya kupiga kule netanyau alipoona waisrael waarabu wanakwenda kupiga kura kwa wingi,akaenda kwenye tv na kutangaza live kuwa,eti anaona makundi ya waarabu kwa wingi wakienda kupiga kura ni hatari,wayahudi jitokezeni mkapige kura.
 
Netanyahu atakuwa kichaa basi.
 
Back
Top Bottom