Netanyahu atua Saudia kimafia bila kujulikana

Netanyahu atua Saudia kimafia bila kujulikana

Iran itapigwa maana haina rafik palr mashariki ya kari
Saudi ikikubali ushauri wa US na Israeli ikaishambhlia kijeshi Iran, itakua imefanya kosa khbwa litakaloigharimu kwa miaka mkngi sana.
 
Iran imefanya mabaya mengi tu baada ya mapinduzi ya 1979. Nakumbuka walianza kufundisha vijana kutoka nchi mbalimbali imani yao. Tamzania ikiwemo. Ndio tukaanza kuona tofauti kwamba kumbe uislamu nao unatofautina. kabla ya hapo tulijua uislamu ni mmoja tu.
Israel ni adui wa Iran na Saudia. Tujue tu kuwa kwenye mtaala wa shule za Saudia hakuna ramani ya nchi inaitwa Israel. Pia ni adui wa Iran. Sasa waneamua kuchagua rafiki wa kuteketeza kwanza halafu wameudie rafiki wa miaka yote.
Ninaamini iko siku na sii nyingi ufalme wa Saudia utaanguka.
 
Hata Magufuli anauwezo wa kwenda nchi yoyote bila kujulikana hakuna kipya hapo!!!
The mysterious flight between the two nations had many asking "Whodunnit?"
A privately owned, unidentified Challenger 604 jet departed from Ben-Gurion International Airport, landing first in the Jordanian capital of Amman and then in the Saudi Arabian capital of Riyadh on Tuesday evening, causing many to question which Israeli decided to pay the Saudis a visit.

The plane in question departed from Israel and flew to an airport in Amman, where it remained on the ground for about two minutes before taking off again and landing in the Saudi capital. After a little less than an hour, the plane, privately owned and registered in the United States, took off and returned to Ben-Gurion Airport.

The plane has also made trips in recent months between Tel Aviv and Cairo.

US Secretary of Defense Mark Esper was also in Riyadh at around the same time, pointed out Haaretz reporter Avi Scharf in a tweet.

Maariv reporter Yossi Melman posited in a tweet that Prime Minister Benjamin Netanyahu or Mossad chief Yossi Cohen may have been on the flight.

In September, Ambassador to the UN Danny Danon told The Jerusalem Post that Israel and various Arab states, including those with whom Israel does not have formal ties, were working together at the UN and elsewhere against Iran.

While the “Europeans were running around trying to get a meeting between [US President Donald] Trump and [Iranian President Hassan] Rouhani, Israel and various Arab states were coordinating efforts to reveal the true face of the Iranians,” Danon said.

Jamaa wanafanya mikutano ya siri na waarabu na wanafanya sana biashara in black market[emoji1134][emoji1210]View attachment 1244427View attachment 1244430
 
Iran imefanya mabaya mengi tu baada ya mapinduzi ya 1979. Nakumbuka walianza kufundisha vijana kutoka nchi mbalimbali imani yao. Tamzania ikiwemo. Ndio tukaanza kuona tofauti kwamba kumbe uislamu nao unatofautina. kabla ya hapo tulijua uislamu ni mmoja tu.
Israel ni adui wa Iran na Saudia. Tujue tu kuwa kwenye mtaala wa shule za Saudia hakuna ramani ya nchi inaitwa Israel. Pia ni adui wa Iran. Sasa waneamua kuchagua rafiki wa kuteketeza kwanza halafu wameudie rafiki wa miaka yote.
Ninaamini iko siku na sii nyingi ufalme wa Saudia utaanguka.
Akishinda Gantz utajua nn kinafata
 
Back
Top Bottom