Kwenye huo msafara na wewe ulikuwepo mkila nguruwe?Wakati mwingine inabidi ujifunze kutafuta habari...
Netanyahu ndiyo Kiongozi pekee Kutoka Middle East ambaye amekutana na Putin mara nyingi kuliko wote
..
Na unapaswa kufahamu ya Kuwa Tangu kupata uhuru Israel haijawahi kutoa msaada wa silaha kwa taifa lingine. Na hiyo ni sera yao kitaifa...kama unataka silaha zao lazima ununue....
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app