ni kweli kabisa kwasababu huyo bennet alipata kuwa hata waziri wa linzi wa netanyahu kama sijakosea. ila nakumbuka katika mapigano yaliyopita nliwa kusema humu ndani hizo njia zake za kutumia mgogoro wa isarael na hamasi zimesha kwisha na nafkir i was correctly in my speculationUzuri wao, mtu ana badirika lakini sera zao za mashariki ya kati ziko vile vile tu!!
Huyu Naftari ni righwing yaana nibwale wanazi na wakorofi saaanaUzuri wao, mtu ana badirika lakini sera zao za mashariki ya kati ziko vile vile tu!!
Mkuu Naftali ni tatizo kuliko huyo BennyKwisha habari yakendoto yake ya kuishambulia iran imekufa kifo cha mende ameondoka akiiacha iran km alivyoikuta
Humjui Benet wewe hapo waarabu walaani sana Naftali Bennett kuchaguliwa maana wanamjuaNdo maana walimwondoa mapema kwenye system kabla hajatekeleza hizo sera zake ambazo wengi hawakuziafiki
Huyu kamanda ni balaa bora BennyHa ha ha ha vipi kuhusu ndoto yake ya kuvishambulia vinu vya nuke vya iran huyu ndio kiongozi aliyeitia aibu ndani ya utawala wake wapiganaji wa hamas wamefanikiwa kuiteka gaza sasa mdaa huu anarudi uraiani pia hii game inachezeshwa na iran kwanza mchezo ulianzia kwa trump now umemalizikia kwa netanyau msicho kijua ni majasusi wa iran wapo kazin
angekuwa anaingia vitan yeye peke yake sawa lakin kama anawatumia wanajeshi wa israel tulio wazoe basi hakuna jipya hapoHuyu kamanda ni balaa bora BennyView attachment 1817932
Tulia uone mkuuangekuwa anaingia vitan yeye peke yake sawa lakin kama anawatumia wanajeshi wa israel tulio wazoe basi hakuna jipya hapo
Humjui Benet wewe hapo waarabu walaani sana Naftali Bennett kuchaguliwa maana wanamjua View attachment 1817931
Kwa wenzetu ni mifumo inayofanya Kazi,
Taasisi zinafanya Kazi kwa weredi bila kutegemea aliyepo Ikulu,huku kwetu Afrika nyeusi,Raisi ni kila kitu,kama alivyokuwa Jiwe
Hakuna mapumziko ana kesi ambazo hazikuanza mchakato wa kimahkama kutokana na hadhi yake ya upm kwa vile kaacha ofis analazimika kukabiliana nazo mpaka kieleweke.apumzike sasa, toka niko primary jina lake nalisikia mpaka leo
And this guy will du ze seim"And Hitler killed many Isralites and there is no problem with that"
Mokaze Quote.
Cha Yeriko Nyerere sio??Kwa undani zaidi soma kitabu cha ujasusi na mtu baada ya mtu.
And this guy will du ze seim
Cha Yeriko Nyerere sio??
Umekisoma???
Umekisomaaaa???Ndio Mkuu cha Yericko.
Are you sure the westerners are fed up with Israel ??That ---I suppose --- will be the starting point for Israel to perish.
Many Westerners are fed up with Israel cunninngs,brutality etc. It is only their governments which support the barbaric zionist regime.
Ndy maana walimuua walipoona anataka kufanya reconciliation na PalestineSio mara zote, unamkumbuka Yitzhak Rabbin?