Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,691
- 6,699
😂😂😂 Hizi za wacha-mbuzi mchuziNdo hizi habari, source yake ni "trust me brother"?
😂😂😂 Hizi za wacha-mbuzi mchuziNdo hizi habari, source yake ni "trust me brother"?
Unateseka ukiwa wapi !?Hadithi yako inatufundisha niiiini mtoto mzuri? Tuambie
Endelea kujifariji tu Mwamba Netanyahu hatishiwi nyau!!️ President Vladimir Putin declines Netanyahu's request to mediate with Iran to halt the conflict.
Israel sought to avert Iran's response via Moscow, but Russia stood firm and refused to intervene.
Join our Telegram Channel t.me/PresidentPutin…
Jehova kawachoka wana wa Sodoma bin kwa mpalenge kimyaaa Netanyahu anapigana uku amekimbia Uwanja wa Vita.Mungu hana muda wa kusimamia watu wajinga kama iran acha wapigwe tu!!!
Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
Zaidi ya shaban robertIla wewe ni mtunzi mzuri.
Daaah! Mwarabu Koko wa Tinde Shinyanga au wa Sherui?Utoto tu unawasumbua najua mkikua mtaacha ujinga huo wewe Mwarabu koko unajuaje PM aliyoongea na putin?
Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
"Iran maintains three key nuclear sites: Natanz, Isfahan, and Fordow. Natanz and Isfahan have reportedly been rendered non-operational, in what defense sources describe as a substantial setback to Iran’s nuclear development efforts."Iran Mungu awasimamie washinde vita.