kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,120
- 24,396
Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888