I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,639 Reaction score 5,436 Apr 4, 2021 #1 Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo. Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji. Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali? Karibuni.
Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo. Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji. Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali? Karibuni.
Franky Samuel JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 5,466 Reaction score 14,615 Apr 4, 2021 #2 Tanzania wasanii wengi wameficha viwango vyao vya pesa wanavyomiliki tofaut na nchi za wenzetu