Net hii kwenye mtungi wa gesi ni ya nini?

Net hii kwenye mtungi wa gesi ni ya nini?

What if wakatumia vilainishi ?
bado msuguano utaendelea ?
Tatizo ni gharama, maana wao ni wafanyabiashara na wanatafuta faida. Ila wanajitahidi kupaka rangi zinazoteleza kiulaini. Ila rangi ikiisha huwa kuna kutu ambayo ili kuepusha kuharibu mitungi mingine ndio neti inapokaa kama kinga ya michubuko kama vile kazi ya condom.
 
Kupunguza mitungi kugusana moja kwa moja wakati wa usafirishaji. Mkuu tafuta plyboard pana kiasi uweke huo mtungi usichafue zulia/kapeti.
 

Ni kipimo cha IQ kwa wanunuzi, kuona kama wana uwezo wa kufikiri na utambuzi bila kuuliza vitu vilivyo wazi sana
 
Back
Top Bottom