Nepotism

Mwenye haki

Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
6
Reaction score
1
Jana bungeni ktk majadiliano ya sakata la nishati na madini,Mh.Dalali kafumu anatajwa km muhusika wa ulaji wa rushwa kwa ushahidi wa kupokea posho ya sh.5 na elfu thelathini kinyume na sheria.Kitendo kilichotokea kabla hajawa mbunge wa Igunga.
Je chama cha mapinduzi kina nia nzuri ya kufuga wala rushwa?Je tume ya uchaguzi iko wapi?Mtu anachukua fomu na kuingia kwenye uchaguzi bila kuchunguzwa maadili yake?
Kama wameweza kuiba fedha hizo watashindwa ku2uza kwa manufaa yao?
2fikilie na 2we makini sana 2cje kuwa kama Libya wakati viongozi waco faa 2nawachagua cc wenyewe.
 
Nepotism sasa ipo wapi hapo?? hebu funguka kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…