uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
1. Usiwaambie Watu kila Kitu Kizuri Ulichonacho, Kwani, Si Wote Wenye NIA NZURI! Bali Wengi Wana HASAD na WIVU..........
2. Mara Nyengine Twacheka Na DHIKI Zimetukalia Kila Upande !, Si Kwa Kuwa Hatuna HISIA, Lakini Ni Kwa Kuwa Tunamiliki NAFSI Zinazoamini Kwamba, "BAADA ya DHIKI ni FARAJA! Usikate Tamaa!
3. Maneno Ya WAJA Ni Mfano Wa Mwamba. Ima Ubebe Mgongoni UVUNJIKE WEWE, Au Ujengee Mnara Chini Ya Nyayo Zako Uwe JUU Na Ushinde!.
4. Usihukumu Mustakbali Wako Kutokea SASA. .' Kwani Mitume Walichunga MBUZI, Kisha Wakaongoza UMMA!
5. Chumvi Ya Bahari Haiathiriki Kwa Wingi Wa MVUA !. Basi, Kuwa Kama Bahari Usiathirike na MANENO/VITIMBI/KEJELI ZA WATU!
6. Usimchukie Mtu Abadan! Kwani Kila Anayekuudhi Anakupa Funzo, Na Tunu Kwenye Sahani Ya Dhahabu naye Hajui!.
7. Aliulizwa Mtu Mmoja: Ni ipi Subira Njema? !
Akasema: Ni Kupewa MITIHANI/MISUKOSUKO, Hali Ya Kuwa Moyo Wako Unasema: ALHAMDULILLAH !