Neno nakupenda

Lugha gani hiyo tena

Jana nilisema humu kuna watu wameanza kuwa wanachangia kwa kilugha sasa tukiamua hapa kila mtu kichangia lugha yake wengine wanaweza kuzimia. So bora tuendelee kutumia kisswahili.
 

Mr LOVER LOVER na kihaya chako cha kuchechemea hujambo?
Nikiri kukumiss sana...lakini si zaiidi ya nilivomiss Eli79,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…