JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
Ilihitaji "akili Kubwa" kuelewa Matumizi Halisi ya lile neno Lissu was very tricky kumuita hivyo "mtukufu" kwani yeye Pombe ni mwenye kujikweza kwamba yeye ndio yeye na neno Lake ni zaidi ya sheria zilizopo.Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu akilitumia kumtaja Mh Rais, nilijua ni panic za kutoka mahabusu. Ila sasa haka kamchezo kanaendelea.
My concerns ni kuwa Tanzania hutajawahi kupata rais aliyejiita mtukufu. Tulizoea kusikia hilo neno kwa jirani zetu wakenya enzi za Daniel; na tuliona siyo sawa. Kujiita mtukufu ni kujikweza kwa hali ya juu. Hili neno likiachwa lishamiri huko mbeleni litageuzwa kuleta picha mbaya kwa Mh Rais. Wito wangu mamlaka husika zisiache hili jambo likue.
Nawasilisha!
Nimefuatilia opponent wengi wa rais wanali-advocate hilo neno. Ni uchochezi uliojificha.Ilihitaji "akili Kubwa" kuelewa Matumizi Halisi ya lile neno Lissu was very tricky kumuita hivyo "mtukufu" kwani yeye Pombe ni mwenye kujikweza kwamba yeye ndio yeye na neno Lake ni zaidi ya sheria zilizopo.
Nafikiri kuna maamukio yanayokubalika, siyo kila mtu abuni lake.Tukimwita mtukufu hamtaki, tukimwita mh. mnasema uchochezi, sasa tumuiteje? Naota
Kwa hiyo ndo nickname yake?anaitwa ivyo kwa kuwa anaamini yeye ndo yeye na hataki kusikia mwingine akipinga
Mkuu Nyerere nadhani kuna kipindi alikua anaitwa mtukufu. Nenda kaangalie jiwe la msingi la terminal 2 pale airport...utaona wameandika "jengo hili limezinduliwa na mtukufu rais".Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu akilitumia kumtaja Mh Rais, nilijua ni panic za kutoka mahabusu. Ila sasa haka kamchezo kanaendelea.
My concerns ni kuwa Tanzania hutajawahi kupata rais aliyejiita mtukufu. Tulizoea kusikia hilo neno kwa jirani zetu wakenya enzi za Daniel; na tuliona siyo sawa. Kujiita mtukufu ni kujikweza kwa hali ya juu. Hili neno likiachwa lishamiri huko mbeleni litageuzwa kuleta picha mbaya kwa Mh Rais. Wito wangu mamlaka husika zisiache hili jambo likue.
Nawasilisha!
Hoja yangu hapa ni kwa nini wapinzani ndo wanaongoza kwa kumuita Magufuli 'mtukufu'? Ni jambo gani wanalipika akilini mwa watu wa kawaida?Mkuu Nyerere nadhani kuna kipindi alikua anaitwa mtukufu. Nenda kaangalie jiwe la msingi la terminal 2 pale airport...utaona wameandika "jengo hili limezinduliwa na mtukufu rais".
Kwa kweli...! Utukufu ni kwa Mwenyezi Mungu pekee..!hakuna mtukufu hapo mtakufuru bure
Mimi naamini mtukufu analipenda ndio maana halijapigwa marufukuNaamini hata Mh.Rais halipendi ndo maana hajalitumia kwenye picha rasmi ya rais.
Na asiyejaribiwa je?... Utukufu ni kwa Mwenyezi Mungu pekee..!
Unajisikiaje kumuita hivyo kiumbe mwenzako?!
!
ni mtakatifu mtukufu Mheshimiwa sana kuliko wote asiyekosea na mkamilifu ambaye alitakalo linakuwa.
Unajisikiaje kumuita hivyo kiumbe mwenzako?
Kwa nini uhangaike kuvumbua vumbua vimaneno? Kwa nini usitumie salutation zilizokubalika?Na asiyejaribiwa je?