Kwishaaa!!; Hao wa kujibanza wanakuaga na mbwembwe acha!
Jamaangu Moja tulitoka wote sehem Moja kufika dar kila mtu akafikia kwa mwenyeji wake, mi nlifikia kwa marafiki nliosoma nao yy akaenda Kwa ndugu zake Kwa kiasi flan Ile familia hela zipo rafiki hata lengo lililotuleta aliacha saiv daily kuweka status wanapokua viwanja ๐๐ tukipiga story kwangu 50k ni kubwa lkn kwake 100k anaona kama jero tu