Neno Moja kwa Kikundi cha Futuhi Startv

Neno Moja kwa Kikundi cha Futuhi Startv

mi hawanichekeshi kwakweli but bi mkubwa huwa anawapenda hadi namshangaa
Ni wazi kabisa kende, hisia zetu za ucheshi zinatofautiana sana.Namkumbuka baba mmoja tulikuwa naye kwenye sherehe fulani, kila anaposikia mtu anapiga chafya anaangua kicheko kikali! Nilimshangaa sana.
 
Last edited by a moderator:
Kama unaona futuhi hawachekeshi yawezekana una matatizo tu! Brother k na sharobaro huwajui???
 
Ni wazi kabisa kende, hisia zetu za ucheshi zinatofautiana sana.Namkumbuka baba mmoja tulikuwa naye kwenye sherehe fulani, kila anaposikia mtu anapiga chafya anaangua kicheko kikali! Nilimshangaa sana.

hahahahaha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom