SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,270
Nyie kikundi cha Futuhi cha startv, kwa nini mnafikiri kwamba kushikana mashati, kuzabana vibao na kukimbizana ili kumkata mwingine mtama ni kichekesho?
Mnaniudhi sana kwa jinsi mnavyokwaruzana kwenye kila episode zenu mkidhani kwamba mnachekesha/kuburudisha.
Betri za remote yangu zinaisha haraka sana kwa sababu nabadili channel kila mnapotokeza kwenye screen ya tv yangu.
Jifunzeni maana ya ucheshi na namna ya kuchekesha!