MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 5,321
- 2,000
Zungusha zungusha kama hivi....ha ha ha, aisee.Lowasa mabadiliko
Mabadiliko lowasa
WENYECHAMA WAMEANZA KURUDI NINYI WAZEE WA KUDANDIA RIFT SOON MTAKAA PEMBENI. MUDA SIO MREFU SOFIA SIMBA, NCHIMBI JERRY SLAA WANAPATA SHAVU MARK MY WORD, NAPE MAKAMBA NA WENGINEO KUANZIA JANA HAWAJA LALA...MOTO UMEWASHWA SASA
Lowasa mabadiliko
Mabadiliko lowasa
Tundu Lisu umemsahau?
labda kalio
Hahaha dahh !!! Alimpamba kwa mapambio yote ..sijui na yeye alikula mgao !!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us