Neno moja kwa huyu dada yetu

Neno moja kwa huyu dada yetu

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,695
12743855_1557009497959542_2553847803342982916_n.jpg
 
Yaan nilipo i soma tu title ya uzi huu nikajua tu moja Kwa moja anayezungumziwa atakuwa flani na ilipo funguka tu picha nikapigia mstari.
 
Mbona dada yako tunambanjua huku kitaa huna habar umekomaa na wema tu. AMKA.
 
Mbona pic yenyewe kama ime-ediwa kuvaa hilo vazi? Hebu angalia vizur kivuli chin ya kidevu hiyo black colour
 
Hahaaaaa nilifikiri nitakuta mdada mmoja nitakayependa kufata nyanja zake za kupaaa kimaisha nitoke uswazi...kumbe huyu khaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom